
46:18
A technical hitch, if anybody is able to sort. The dial-in participants are reporting no audio...

47:11
Looking into the audio issue for dial-ins

49:10
press hiyo "dial to audio"

51:51
At the bottom left of your computer you can allow to hear the audio.

53:21
sharing PPE conservation policy from Ontario, Canada https://bit.ly/3cNiRrO

53:27
1."frugal innovation" or frugal engineering and adaptability ni muhimu-kutengeneza bidhaa kama(PPE) locally kama nyumbani

53:44
Sorry Fredrick, those having issues are those who are using a phone to dial in just for audio. It's not a computer issue

54:33
remember to select join with audio option

54:55
Can they please enter through the link and not dial-in? Not seeing audio issue from this side.

54:57
dial via phone

55:41
From Ukende Shalla Hi everyone

55:51
on your left hand corner kuna options choose dial via phone

01:01:58
Thank you so much Dr. Nasibu Mwande. I am following well

01:08:27
kwa upande wa UK wagonjwa wanapungua hospitalini za kawaida kwa sababu serikali imefungua hospital mpya maalumu kwa Covid-19 tu. na zote ni kubwa sana ya London ina uwezo wa kulaza 4000 to 5000 na katika mji ya Birmingham NEC vitanda zaidi ya 4000 , Manchester ni zaidi ya 3000 na sehemu nyingine. ili imesaidi sana

01:10:18
In most Hospitals in UK and London all hospitals are divided into 2 parts

01:11:43
2 parts of hospitals: 1.COVID part of hospital (wards) and non COVID part

01:12:03
N 95 inapatikana mtaani

01:12:08
10k

01:12:11
N95 zinauzwa 30,000 pia zinapatikana kwa shida,

01:12:45
N95, FFPP1, surgical zipo

01:13:04
Uvaaji wa mask ni challenge!

01:14:10
N95 Kwa pc 3000 sehemu zingine

01:14:29
Kilimanjaro zinapatika Pharmacy ila kwa shida ... na kuna 2 different model nimeziona (second one inaonekana a bit low quality)

01:14:31
Mbona tunavaa hata leo nimepita kirumba watu wamevaa

01:14:55
elimu ya kuvaa na kuvua PPE https://www.publichealthontario.ca/-/media/documents/ncov/ipac/ppe-recommended-steps.pdf?la=en

01:15:07
Kwa DSM watu 8 kati ya wawili wamevaa mask

01:15:40
Mwanza tunavaa

01:15:49
allen ndio umesema kitu gani tena

01:15:50
jee kama kuna ukosefu wa N95 mini kifanyike kupatikana hizo N95 hilo Tanzania kwa sasa ?

01:15:52
watu from public wanasema barakoa zinawakaba pumzi... so uvaaji wa barakoa bado ni challenge

01:16:04
Mwanza wanavaa

01:16:04
Amin Ally

01:16:54
Hata hapa nilipo nimevaa

01:17:18
Allen nadhani ulimaanisha watu 2 kati ya 8 wamevaa mask. Siyo?

01:19:05
@Deusi was wondering about that because it doesn't match what we see in videos

01:19:36
Dr. Osati-Thanks for your honesty and courage

01:20:32
Sisi kama professionals..I meant Drs, Nurses, na wengineo tunachukua hatua gani kuhakikisha tunatoa data sahihi za wagonjwa na sio siasa inayosemekana sasa@Dr.Olisha

01:20:55
suala la wagonjwa kuwa turned away na hospitali ni extremely disturbing. Hili kama profession huko nyumbani tunali-address vipi?

01:21:37
probably many patients die due to non-COVID problems. which is really sad

01:23:54
Shida nyingine kubwa iliyopo kama wengine walivyoongelea ni uvaaji wa masks and how to dispose after using it.. watu wengi wakichoka kuvaa mask, wanazishusha chini ya kidevu.. nafiri hii ni hatari zaidi kuzidi hatari ya kutokuvaa mask yenyewe.

01:24:55
Naomba kujua fedha zilizokusanywa kwa wadau nilizisikia PM alijitahidi sana kuelezea zimetumikaje?@Panelists TZ

01:29:29
We had referral guidelines before COVID-19. This pandemic is exposing the weaknesses of the country referral system. Imagine you being the patient sent from facility X to Y only to be told you don't have the referral which you have been denied at facility X in the 1st place just because facility Y is the only designated facility for managing COVID-19 or whatever disease that you have

01:30:40
good job Dr Osati

01:31:12
Dr. Osati kwa kukusikiliza inaonyesha morale iko chini sana. Nini kifanyike?

01:32:13
Mama Mulamula-umemsoma vizuri. Nafikiri anahitaji any support he can get

01:32:21
Shikamoo @ Balozi Mulamula

01:32:49
Yaani inasikiktisha sana

01:32:52
Kweli Kabisa wanahitaji support kubwa kwenye PPEs

01:33:14
😢😢😢

01:33:16
Ikiwa hata guidelines ni vigumu kutolewa

01:33:19
na hawa ndio wapiganaji wetu wa mstari wa mbele

01:33:45
Inasikitisha

01:34:18
kwa kweli kufukiza kunahitaji guidance

01:35:10
Dr. Osati thank you for your honesty. It’s refreshing to hear kusema ukweli

01:36:05
Dr Osati thank you so much. I have learnt a lot

01:37:10
Kama kuna mainjinia wana 3D printers kuna free 3D models tunaweza kuwatumia wakatengeneza faceshields na masks kwa ajili ya madaktari na manesi huko huko.

01:37:28
Yaani kwa kweli this thing inatakiwa individual effort

01:38:05
As we hear the situation on the ground: please donate to help alleviate COVID19 crisis in Tanzania: https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

01:38:17
lakini tunawasaidiaje akina Dr Osati, maana wao wako mstari wa mbele

01:38:36
Oooh noo

01:39:06
please do share the 3D model for masks, ya faceshields tuliipata na tumeanza tengeneza

01:39:38
Kusaidia Dr. Osati na wengine huko Tanzania. Tafadhali jitolee hapa: https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

01:40:43
Juhudi za makusudi ili kuwakinga wauguzi na madaktari zinahitajika. Wakiugua wao wagonjwa watahudumiwa na nani... As a country we can do better

01:41:18
Asante Dr. Osati for being informative and forthright.

01:41:41
All, please visit gofundme page above for details and donation🙏

01:43:14
tunaweza kuwasaidia wakina daktari Osati kwa kutoa elimu zaidi, mfano tumefanikiwa kutengeneza app yenye elimu juu ya COVID 19 lakini kupata approval from the ministry imekua ngumu, maelekezo au kuunganishwa na serikali utashukuriwa sana , tufanye kwa Tanzania yetu

01:43:26
thank you Dr Osati for being transparent

01:45:52
https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

01:46:02
Karibuni🙏🏿❤️🙏🏿

01:46:11
???

01:53:25
Pia unaweza tuma mchango wako kwa kutumia CashApp $TZDiaspora

01:53:26
We welcome anyone interested in helping with the fund raising campaign. Please email us @dhibiticovidtz@gmail.com.

01:54:14
Mbona tunachanga sana kwenye misiba na harusi?

01:54:55
Na birthday 🙄

01:56:32
Hosts.. there are few more sign-ups but are put on the waiting .. just incase

01:56:46
We are also on Facebook searchdhibit covid tanzania

01:58:06
Tatizo ni jinsi gani tunawafikia walengwa kama hakuna mfuko maalum ambao serikali imeturuhusu kuchangia

01:58:52
kunaweza kuwa na platform ya mpesa kwajili ya kutuma mchango?

01:59:07
I think tatizo ni culture na priority!

01:59:23
very informative - asanteni sana

01:59:40
Nchi yetu ni kubwa. Je tunawafikiaje walengwa ambao hawako miji mikuu

02:00:35
Solution ni we changa. we have trusted team, we will ask for report

02:00:56
Swali la Jacqueline zuri...Mpesa namba ili walio TZ wachangie nadhani tungeidentify hapa…@TANNA, MAT and other associations

02:01:14
Agnetta Kamugisha; mkazi wa North Carolina; Ph. 919-724-2291Tina Lasway ; mkazi wa Texas and DIACOTA Rep.; Ph. 919-309-6994Nabila Ghassany; mkazi wa Georgia; Ph 404-988-2178Nassaro Basalama; mkazi wa North Carolina; Ph 919-519-1624Zawadi Sakapalla-Ukondwa mkazi wa Maryland; Ph 301-379-2342

02:02:00
we need a representative from EVERY STATE. Please email us atdhibiticovidtz@gmail.comcall 1-919-724-2291

02:03:29
3D faceshields are being made on a low scale at the moment and they are available for health care workers @Malima

02:05:42
There is also another company that just started making faceshields using recycled bottles and flipflops

02:08:07
Jack Mal has been sending PPEs and Testing kits to all 55 African Countries two times now. Tomorrow another consignment is arriving from China and the airlifting of these items including body temp scanners will start leaving Addis Ababa by next week. Are these donations reach the targeted populations?

02:08:32
Dr. Praag, I am a certified CHW by the State of Oregon, I would like to connect with you and work together with CHWs in Tanzania. Glenaedna@gmail.com. Asante.

02:08:45
CHWs ni sawa lakini wasiwasi wangu ni - wameandaliwa kwa kiasi gani katika swala zima la kujilinda dhidi ya maambukizi. je, wameandaliwa vipi katika utoaji wa elimu

02:08:48
We can also bring up a voluntary and friendly challenge for every Jumuiya in the US to raise funds as a local collective effort eg $500 and send it to DICOTA

02:09:11
PPE should be prioritized to the lower level health facilities providers/PHC

02:10:17
asante Rostam

02:10:26
suala la reuse ya barakoda, naona tueliminishane maana kutokana na uhaba wengi tuna reuse lakini decontamination ya hizi barakoda hasa kwa sisi HCW ni changamoto

02:11:12
Hiyo sintofahamu ndiyo inafanya watu wasite kuchangia. Inabidi wadau walioko nyumbani akiwemo Dkt Osati wety watusaidie kuondoa hiyo changamoto

02:11:35
on chw isssues, pls write me an email eric.vanpraag@gmail.com

02:12:27
Thanks Dr. Praag.

02:12:51
Thanks Eric

02:13:37
as a trustee for Tanzania Development Trust timetoa na tunaendelea kutoa misaada ys ppe kwa baadhi ya vituo vilivyo kuwa recognised kama vinatoa covid 19. focus yetu inakuwa zaidi kwenye mikoa madkini...lakini tunaishiwa nguvu kwa sababu ya overwhelming applications

02:14:20
thanks a lot to all of you for this opportunity. giving hope to health Care workers in Tanzania in this heavy crisis. Dr Praag, Dr Osati, and our lovely Co-hosting ladies. God bless you all.

02:15:16
@Dr. Amour - Excellent kama watu wameshanza kutengeneza hizo PPE. Huku imekuwa kama kijiji, hivyo wengi wenye 3D printers wanatengeneza NIH approved masks and faceshields ambazo wanazitoa bure kwenye mahospitali. Labda wengi zaidi wajumuike. Mfano wa hizo community. https://www.makersforcovid19.com/

02:16:27
We need a buy in by the government!

02:16:43
Thanks for this online meeting.I concur on using MPESA/TIGOPESA number as well

02:16:46
sure sure@Mulamula

02:16:52
People are refusing to donate because of how the government is handling this whole saga! so it’s double jeopardy

02:17:20
but we will keep on hoping for a change of heart

02:17:54
let us contribute. Let us save Tanzanian

02:17:54
Kama Ulivyosikia, mchnago unaenda kwa walengwa directly, sio Government

02:18:22
we tell them that but words from the government leaders matters

02:18:53
Tatizo langu ni je tunawezaje kuwafikia walengwa wote?

02:19:38
Kwa kutumia matawi yetu ya professional associations zetu kama TANNA tuna matawi hadi wilayani@Mulamula

02:20:03
Plus you already have people that have lost family members because of this Covid19 and they are pissed off

02:20:16
Hata hapa USA anachosema Raisi sio lazima Governors wafate. Hivyo hata sisi tunaweza saidia nyumbani bila kulaumu serikali.

02:20:35
binafsi napenda kuwashukuru na kuwapongeza jumuiya ya watanzania Diaspora DICOTA na wawakilishi wa wahudumu wa afya Tz kwa kukutana kwa Njia hii na kisaidiana. kweli PPE ni muhimu sana lakini pia training, motivation kwa staff actively wanaowasaidia wagonjwa.

02:21:25
True! but ni hoja binafsi inabidi mtu mwenyewe aone hiyo tofauti na aguswe kuchangia

02:21:34
tuendelee kuwahudumia wagonjwa vizuri na tujilinde. dr ally akrabi emergency physician Bugando medical centre mwanza. pia nahudumia COVID19 ma kusaidia mkoa kujiandaa na kuhudumia

02:21:47
Ndugu zangu Watanzania, ingawa tumeudhiwa na saga la serikali linavyohandle huu ungonjwa, wauguzi wetu wanaathirika hivyo ndugu zetu wataendelea kuumia na maradhi. Kibaya sio tu kwa COVID-19 bali kwa maradhi mengine yote ya kila siku. Hivyo kama bado ujachangia, tafadhali fanya hivyo sasa kwenye link iliopo humu kwenye hii chat.

02:22:12
https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

02:23:05
Please donate and save lives💰🙏

02:23:20
Kwa Chama Cha wauguzi na wakunga Tanzania nashauri mnaweza kuwasilaian an ofisi namba 0685781028 au technical staff 0754004300 au direct kwa Rais wa Chama no.0677175339

02:24:13
Asanteni sana Alex and Dr. Osati kwa kutupa picha halisia. Ni ukweli unaotisha!

02:25:53
N95 Zinaweza hata kupatikana Home Depot huku Nchini Marekani

02:25:54
@Soloka je hizi Professional Associations zimejipanga kufanya hivyo na zina uwezo wa kufikia communities?

02:26:25
Hapa ni kuwafikia watoa huduma wetu hasa maeneo yaliathirika its possible

02:26:26
Je zinahitaji kibali?

02:27:11
Shukrani kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchangia hili janga la COVID-19.

02:27:17
Yes lazima kibali kutoka serikalini ndio upewe kwenye hata kiwanda binafsi

02:28:03
Dear participants, my recommendation kwa Diaspora supported PPE, ingekuwa bora kupata pre-approved supplier outside the country and purchase directly.

02:28:23
Where /what is the planned destination of this donation from Diaspora? will it be cash or goods? Direct to health facilities or via MSD?

02:28:52
to purchase in Tanzania from MSD uses the same pool of products

02:29:15
Dr. Ellen nice to hear from you

02:29:17
Naomba kujua mwenendo na maendeleo ya upatikanaji wa chanjo na matibabu ya COVID-19

02:29:25
Tina, hongera kwa kazi nzuri. Count me in to volunteer and be part of the team. Dr. Mary Banda

02:29:56
Thank you Dr. Banda. I will be in touch ASAP. We need all hands on deck!

02:30:52
namba yangu ni sahihishe hapo juu kwa soloka tumia 0713070539/0755785928 Rais TANNA

02:31:04
Hali ya udhibiti wa ugonjwa wa COVID-19 ipoje kwa USA maana tunaona bado cases mpya na vifo ni juu sana

02:31:22
mimi sitaafiki PPE kuagiza nje kwanza itakuwa ghali na usafirishaji ni wa matata. la pili itacheleweshwa kusambazwa kwa kuwa zitahitaji kukaguliwa na pia kupimwa (kama Mkuu alivyosema usalama izipime ppe zote zinazotoka nje). nashauri zinunuliwe hapa hapa Tz na kuna zingine zishonwe.

02:32:40
professionals zote zinaviongozi hadi wilayani hivyo vifaa vitafika hadi kwemye dispensary

02:32:54
Ni vema kuagiza MSD provided zinaenda kwa watoa huduma..sidhani kama Serikali itaresist kwenye hili@All Akrabi

02:34:20
Naomba kuchangia @Host

02:35:08
Swali: Kama Rostam alipata changamoto kufikisha pledged PPE alizoahidi, diaspora itatumia njia ipi ku-navigate bureaucracy yetu?

02:36:13
Sisis hatulipi serikalini tunalipa kiwandani na MSD ana enda chukua na kuwasilisha sehemu husika under supervision ya professional associations@Dr.Deus

02:36:29
I agree it is better to work through MSD

02:37:40
Dr Isack,

02:38:24
thanks to diasporas and the support to the community.

02:39:23
Two POINTS1. This is more of a question but also suggestion. What are the efforts towards preventiion domain? I am talking on Nutrition and also use of Home Remedies and also locally available Herbs etc ?Dr. Mhame - huyu naamini alikuwa Head Traditional Medicine Wizara ya Afya then went to NIMR and helped kuanzisha Traditional Medical Research at Mabibo then back to the Ministry and now I am made to believe he is back to NIMR.Ushauri wangu huu kama hapa hayupo basi akaribishwe ili juhudi hizi zisiache nyuma mlango huu wa nyumbani wa Tiba Mbadala and tusiidharau hii maana siisikii ikipewa uzito.Swala zima la LISHE nalo linahitaji kupewa uzito na pia wadau wa hii line ni bora kucollaborate efforts zao and or help promote.2. Second point ni on michango. Usually people engage when they "feel touched moyoni" and also their input iweze kuleta real impact on the ground and on the cause.

02:39:26
Yes tutafata recommendation ya Wataalam hawa waliopo nyumbani na wote are recommending use of MSD.

02:39:38
Mfano if there is massive campaign in terms of using home remedies and all that and this gets tracked to see how it affects the stats... I believe the movement will get massive support.My Two Cents.

02:40:04
Dr. Ellen Mkondya, how about those medical volunteers, are you going to cover the license application fees for those volunteers?

02:40:08
@DeusWe are exploring the same path as Rostam

02:40:11
I understand sio theme leo but food for thought

02:40:17
Dr Ellen/Erica is making sebse

02:40:27
Dr. Hellen is the guideline for volunteerism that is in the process of development for all cadres or only for CHWs?

02:40:31
Mr Apollo Temu- noted

02:40:55
Thanks Asha Nyanganyi

02:41:46
Do you think is a due time kudeploy health care teams to come in Dar es Salaam to help with treatment and care?

02:42:30
Dr Ellen making a lot of sense. Dont re-invent the wheel and instead use the existing programmes to fight COVID19 . Re-purposing the current programme.

02:43:27
Thanks Dr. Ellen, great presentation!

02:44:07
Thanks Dr. Ellen for the insight! Very helpful

02:44:18
Community surveillance is great

02:44:47
Thanks Dr Ellen and Dr Van Prag for the information

02:45:01
Thanks to all presenters.... this is great information

02:45:01
I want kutoa ushauri kuhusu MSD@dada Tina

02:45:27
vp usalama wa hivyo

02:47:16
Hapa kwenye Webnar nimeona baadhi yetu tulikuwa tunafikicha( touch) macho, Pua , midomo na kushika uso mara kwa mara. Je, hili suala Lina madhara gani ktk kinga ya Msingi?!

02:48:09
ni hatari sana @Yonga

02:49:14
@Yonga Ngirwa, kama una uhakika kuwa mikono yako ni misafi unaweza kushika uso. Wanaposema usishike uso, ni pale ambapo mikono yako inapokuwa sio misafi

02:49:57
namna gani professionals wanaweza kupunguza politics ktk mlipuko huu...

02:50:15
ikiwa ni pamoja na kuongeza transparency..?

02:50:58
Jinsi gani referral system inaweza boreshwa kwa wakati huu wa COVID-19 ili kuepusha wagonjwa kukataliwa vituoni?

02:52:32
I agree with Soloka

02:52:56
Naomba best way to decontaminate N95 in Tz settings, kuna CDC guide but if you have quick ideas knowing our environments and differences in equipments itatusaidia

02:53:48
Agreed.

02:53:52
Good point SOLOKA

02:54:22
N95 ni single use lakini, Florida Muro

02:54:26
Swali: Je Dicota ina mawasiliano na waTZ wanaoishi China ili kama wanaweza kununua PPE direct kule as a back-up plan?

02:54:29
Very good Soloka :)

02:54:38
Nakubaliana na pendekezo la kumwalika Mwakilishi wa MSD na Serikali ambao wako kwenye Task Froce ni muhimu

02:55:48
Asante ujumbe utafika tujitahidi tukimbie speed jamani watoa huduma wakiingia mtini nani atawahudumia?

02:55:51
Does TZ have an Emergency Response Team kwa mambo ya magonjwa? Leave alone COVID19?

02:55:56
Even here in the US frontline workers have quit due to lack of protective equipment

02:56:04
Asante Bwana Soloka na Mama Balozi Mulamula. Noted

02:56:12
if yes, where are they and how do they operate?

02:57:17
N95 tunaambiwa can be re-used, even for a month as long as we decontaminate (tuna make ya 3M)!!! au there is another design @Nasibu, but for isolation HCW so far its single use

02:58:52
Can we share hiyo guide ya jinsi ya kuzitumia PPE na kuziteketeza baada ya matumizi..tunaomba mshare hapa

02:59:08
Hizo za CDC@Tina Lasway

02:59:09
Naweza kuchangia kuhus face shields?

03:00:42
https://www.medscape.com/viewarticle/928877?nlid=135131_430&src=WNL_mdplsfeat_200421_mscpedit_fmed&uac=183292SV&spon=34&impID=2355118&faf=1

03:00:47
Kwa kuwa Tanzania hakuna lockdown watu walioko kwenye mazingira hatarishi kama vile k/koo,feri na penye misongamano mikubwa wanaweza kutumia low cost made face shield?

03:00:53
link on how to sanitize N95

03:01:02
N95 weekly rotation is a good idea

03:01:52
https://www.cdc.gov/niosh/topics/hcwcontrols/recommendedguidanceextuse.html

03:02:41
If i would like to invest my vigisenti to Tz companies making any these hot items, where do i go? kama masks, gloves, ventilators....

03:03:17
Is there any emergency temporary VAT waiver by TRA for PPE au tunaweza ku-lobby kupata hii?

03:03:36
any attempts to make these products in Tz?

03:04:47
We are trying to make some for now

03:04:56
Nadhani ni kufungua kampuni kusajili BRELLA ingia website ya BRELLA then ukisajili utatakiwa kuwa na license za kufanya kazi hizo nadhani mamlaka kama mbili@Agnette kamugisha

03:04:57
Nashukuru sana kwa mawazo yenu juu ya PPE and kujibu swali langu on N95 decontamination procedure

03:07:34
It may sound political, should MAT issue a statement on how ineffective are cloth masks in preventing COVID. We appreciate with the scarcity of proper masks.. Tanzanians still need to be informed of inefficiency of cloth masks

03:08:56
we use Sundstrom respirator masks. one can have a look online. You will need FIT test for users

03:12:32
https://www.instagram.com/p/B_MYhEtnu53/?igshid=6eg0tncl3t13

03:12:48
Ni muhimu kuwasikia pia NHIF

03:15:34
Kama umegusa tafadhali CHANGIA SASA at https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

03:17:50
serikali bado inaruhusu mikusanyiko ya Ibada,.. Huu ni uhatarisho wa usalama wa watu. kwanini mikusanyiko yote imekatazwa isipokuwa ya kidini. lengo ni nini? na madaktari wameweza kuishauri serikali katika hili?

03:19:49
EST

03:21:06
dhibiticovidtz@gmail.com

03:21:44
Saa 10 EST? Hiyo naona ni late sana kwa wenzetu walioko Tanzania au?

03:22:04
https://us04web.zoom.us/j/77839017871

03:22:11
4pm EST kesho

03:22:25
Kamati ya “Dhibiti Mlipuko Wa Covid-19 Tanzania” inakukaribisha kwenye mkutano.Siku: Karibuni Jumapili hii April 26, 2020.Saa: 4pm EST/ 3pm CST/ 1pm PST/ 9pm UK/ Saa 5 usiku Afrika Mashariki.Ajenda: Kujadili Kampeni Ya Kudhibiti Mlipuko Wa Covid-19 Tanzania.Kujiunga sajili hapahttps://us04web.zoom.us/j/77839017871Nassor Basalama – Muendesha mkutano.Nabila Ghassany – Utambulisho wa Kampeni.Shaabani Fundi na Agnetta Kamugisha– Tulipofikia na tunapoenda.Tina Lasway – Vifaa, bei zake, suppliers, na wapi msaada utaenda.Tafadhali njoo ujiunge nasi katika kujishirikisha kusaidia ndugu zetu kwenye janga hili Tanzania.Ahsanteni.Meeting ID: 778 3901 7871

03:23:26
Kamati ya *“Dhibiti Mlipuko Wa Covid-19 Tanzania”* inakukaribisha kwenye mkutano.*Siku*: Karibuni Jumapili hii April 26, 2020.*Saa*: 4pm EST/ 3pm CST/ 1pm PST/ 9pm UK/ Saa 5 usiku Afrika Mashariki.*Ajenda*: Kujadili Kampeni Ya Kudhibiti Mlipuko Wa Covid-19 Tanzania.Kujiunga sajili hapahttps://us04web.zoom.us/j/77839017871Nassor Basalama – Muendesha mkutano.Nabila Ghassany – Utambulisho wa Kampeni.Shaabani Fundi na Agnetta Kamugisha– Tulipofikia na tunapoenda.Tina Lasway – Vifaa, bei zake, suppliers, na wapi msaada utaenda.Tafadhali njoo ujiunge nasi katika kujishirikisha kusaidia ndugu zetu kwenye janga hili Tanzania.Ahsanteni.Meeting ID: 778 3901 7871

03:26:34
Asante Sana dr Chetanramaiya Ob/gym Vice President AGOTA Asociation of Ob / gym Tanzania

03:27:26
Poleni Sana Madaktari na Manesi!

03:28:08
thanks for joining us

03:28:14
Karibuni wote kuwa kwenye team ya uratibu

03:28:15
Tusahihishe usemi hakuna Manesi bali ni wauguzi

03:28:30
Agnetta Kamugisha; mkazi wa North Carolina; Ph. 919-724-2291Tina Lasway ; mkazi wa Texas and DIACOTA Rep.; Ph. 919-309-6994Nabila Ghassany; mkazi wa Georgia; Ph 404-988-2178Nassaro Basalama; mkazi wa North Carolina; Ph 919-519-1624Zawadi Sakapalla-Ukondwa mkazi wa Maryland; Ph 301-379-2342

03:29:03
Shukrani za dhati kwa madaktari wetu Tz na dunia kwa ujumla pia tunawashukuru wote kwa kujali.

03:29:06
Thank you for all that you are doing. Will inform others on my side

03:29:45
Nashukuru sana DICOTA kwa mchango na ushiriki wenu katika kusaidia kuwakinga watoa huduma za Afya Tanzania

03:30:05
Asante Sokola, Wauguzi 🤗

03:30:12
TANNA no.0685781028

03:30:23
Congrats tena DICOTA for a very well organized forum. Keep it up. It was informative and educative and looking forward for the next one. Asanteni sana na Mungu awabariki.

03:31:26
Thanks DACOTA for this forum. Asanteni wauguzi na madaktari.

03:31:45
Asanteni kwa forum hii..

03:32:24
Thanks all kwa kutoa michango nimefarijika sana...sasa naamini Corona kwishaaa

03:32:59
Asanteni sana wauguzi na madaktari wote hasa huko nyumbani Tz

03:33:37
Ahsante sana 🙏

03:33:47
Asante ni sanaa

03:33:54
Asanteni

03:33:55
Asanteni sana