
43:17
please pia updates za treatment trials, .. na ufafanuzi on matumizi ya tiba ya combination with Chloroquine

48:08
Trends kwa lugha rahisi ni ZINAZOVUMA

49:30
Hiyo zinazovuma ni trendy, hiyo trend ya kitakwimu ni hiyo hiyo mwenendo

49:34
kwa maelezo unayotumia, trend ni MWENENDO

50:04
Asante Kaka Chambi

01:05:37
Hata WHO leo wametoa maelekezo kuwa wamama wanaweza kunyonyesha wakati bado tunaendelea kusubiri Habari kama kuna maambukizi yoyote. Hii pia inashauriwa hata kwa magonjwa mengine, bado wamama wanaweza kuendelea kunyonyesha watoto.

01:28:47
Tafadhali andika swali lako hapa. Asanteni

01:32:14
🤙🙏🏼

01:38:27
Yesterday on the radio, a doctor mentioned "splitting" a single ventilator and use it up to 4 patients if a hospital has a shortage. Does Tz have enough ventilators or do they need to be aware of this option?

01:40:46
Well and correctly said in regard to chloroquine and it is still in early studies at lab level

01:48:28
Ahsante. It was on NPR. She was the first to come up with the idea a while back.

01:49:50
mwelekeo wa kasi..

01:50:06
Google says "trending" in Swahili ni "mwenendo"

01:55:46
Tafadhali andika swali lako hapa. Asanteni

01:55:56
Hizi masks mnatoa mwongozo gani upande wenu maana kuna either unclear or confusing messages...

01:58:24
Nina swali la utafiti wa hivi karibuni wa airborne

01:59:26
herd immunity sounds terrible for corona virus. glad UK changed their course …

02:00:42
nimechelewa kujoin kidogo..naomba kufahamu jinsi gani hospital kubwa wanahandle hii issue? Mfano ni jinsi gani hospital kubwa ifanyie huduma zake. Mfano hapa Muhimbili katika kipindi

02:03:03
kuna statistics zozote za waafrica waliokufa? kuna myth that we have strong immunity kwa hili gojwa. Ni kweli?

02:11:32
Leo niliona a jocking skit about Coronavirus Tanzania. I don’t know if there is any role kudhibiti vitu kama kusambaa so that people take this more seriously

02:13:44
Naomba uongelee kidogo utafiti, nadhani wa UCLA, kuhusu kirusi wa corona kukaa hewani kwa muda….

02:15:56
Hizi masks katika uvaaji wake mnatoa mwongozo gani upande wenu?

02:18:03
AT kuna makala Dr. Frank aliongelea specifically kwa ajili ya uvaaji wa mask

02:18:57
@Oliver any (url) link ?

02:18:59
naweza kuku inbox AT

02:19:08
Thanks

02:19:28
nipe contact zako before hii recording haijakatwa

02:19:37
let me see if I can share the link here

02:20:23
Listen to Je! Kuvaa mask kutakukinga na Corona? by Kwanza Production on #SoundCloud https://soundcloud.com/kwanzaproduction/je-kuvaa-mask-kutakukinga-na-corona

02:20:34
got it?

02:20:39
Listen to Je! Kuvaa mask kutakukinga na Corona? by Kwanza Production on #SoundCloud https://soundcloud.com/kwanzaproduction/je-kuvaa-mask-kutakukinga-na-corona

02:20:43
here Kapaya

02:21:13
👌🏿

02:21:21
got it thanks

02:21:30
tunawashukuru sana DICOTA.. vyombo vya habari vingeweza ku connect kwenye programme itawafikia watanzania wengi sana na kuweza kuuliza maswali mengi. Keep it up.

02:23:21
Ahsante sana wote. Excellent program💪👏👏👏❤

02:24:06
TZ Diaspora na waongea Kiswahili popote mlipo: Mada: Uzushi na Upotoshaji kuhusu virusi vya corona Majadiliano ya DICOTA 03/14/2020 pamoja na Madaktari na Wauguzi WaTanzania, waliopo USA na Canada katika juhudi za kupunguza sintofahamu kuhusu janga hili la COVID-19. https://zoom.us/rec/share/vMdYNKjvzn1JWIGV8k72epUmManjT6a82nAW-PpYnkaBC7UhVtJdGwyLMckrraPg?startTime=1584196037000 Karibuni sana, Tuwekane sawa na Salama 🙏🙏

02:24:12
how can I get invited in subsequent meeting?

02:24:13
ahsante Kwa kipindi kizuri

02:24:14
here is another link

02:24:34
Festo

02:24:36
congrats team this very educative

02:25:20
Festo we can chat more on this just Incase we get disconnected here

02:25:49
okay.

02:25:58
what’s your number?

02:26:16
not your Frank

02:26:45
for WhatsApp?

02:26:46
Festo what’s your number

02:26:49
yes

02:26:56
hurry up they will close

02:27:03
+255786472729

02:27:04
👏👏👏👏

02:27:30
got it!

02:27:47
Thanks

02:27:47
barikiwaaaa

02:27:48
thanks

02:27:51
asanteni sana. great session!

02:27:56
currently in Juba, South Sudan

02:28:05
thanks

02:28:05
Hongereni sana

02:28:14
thanks a lot Dr Minja all organizers

02:28:43
Great session indeed. The idea can expand into other domains ...

02:28:56
asanteni

02:28:57
Asante