Zoom Logo

Changamoto za Afya ya Akili (Mental Health): Janga la COVID-19 - Shared screen with speaker view
Dr Joseph Masika OAM
37:54
Dr Fii Greetigs
Azan Nyundo
41:45
cant get the audio
Muhanyi Nkoronko
42:30
me too
saidah Bakar
42:36
Dr Azan try to check your screen. we are getting the audio very well
Nuru Mwakitabu
42:41
The same to ,e
Nuru Mwakitabu
42:44
me
Dr. George Lohay
42:48
check if you have allowed your computer to join audio
Dr. George Lohay
42:56
I hear very well
Daniel Nyato
43:24
the audio is stable!
Chiku Lweno
43:31
I can't hear as well
Nuru Mwakitabu
44:01
For me its working now
Dr Joseph Jumanne
44:08
me too
Dennis Rweyemamu
44:20
I'm following up and the audio is great
Hussein Juma
44:20
May I be allowed to record, please?
Dr Joseph Masika OAM
46:03
Dr Usat- internet is unstable
Asha nyanganyi
46:19
it is recorded and will be shared to public
Hussein Juma
46:54
Okay, that's fine, and thank you guys for organizing this meeting. So scintilating!!
Azan Nyundo
47:42
Now its working. Thanks
Asha nyanganyi
48:17
inbox me (+1 301 793-2833) your whatsApp number I will share the video
Raymond Bandio
51:03
Zitto K is in this meeting! political will is very important
Hussein Juma
51:19
+255 739 947 397 @Asha Nyanganyi
Judith Boshe
53:26
+27790418595
Furaha Mloka
53:46
Safi sana Zitto na Bashe kuweka kwa kuungana kwa ajili ya kupambana na hali halisi inayotukabili kama Taifa
Lunda Asmani
54:12
Dear fellows, we have witnessed or at least heard some people committing suicide after untimely passing of several family members due to covid-19! Have you guys considered community engagement in any way at least to help keeping general population sanity at bay and protecting individual's peace especially during this difficult time? People are highly stressed right now, which is in my opinion, might be one of the major contributing factors for the reported fatality due to covid-19 so far! Thanks, Mazyala!
Lunda Asmani
55:07
I wanna know the effects of social media towards covid-19 on individual mental healthy. Arresta Shayo
Peter Mhando
56:11
To the experts Dr. Pendaeli et al: Psychological health in times of crisis such as these is especially important. How do we gauge the nation's psychological state right now?
Dr. George Lohay
56:48
Mimi nina swali, inaonekana tatu wanafariki ghafla huko Dar es salaam. Kuna uwezekano kwamba dalili za Covid19 Tanzania zinatofautiana na chi zingine? Maana inawezekana watu wanapata heart attack
Saidi Kuganda
58:23
Mie sidhanii kwamba itakuwa ni heart attack, probably ni thromboembolic phenomenon.
MASANJA SAIMON LUMANEJA
59:11
Iko haja pia Dr. Osati ya kuangalia miongozo kwa watoa huduma na vituo vya afya kuelekeza juhudi. Upatikanaji wa vifaa peke yake pasipo miongozo unaweza sababisha matumizi makubwa ya hivyo vifaa bila tija na kuleta wastage. Pia iko haja kugawanya timu kuruhusu pia matibabu yamagonjwa mengine yaliyopo siku zote. Tafiti zinaonyesha upo pia uwezekano wa watu kufa sana kwa sababu ya magonjwa mengine kama malaria sababu ya mfumo wa afya kuzidiwa. Pia Wizara ingeunda special task force ili isimamie utekelezaji wa mipango interventions nje ya mifumo ya kawaida. Kuchanganya mambo kunaweza leta chaos ambayo itavuruga mambo zaidi
Dr. George Lohay
59:40
Asante, @Saidi Kuganda ila kuna data kwa hapa Marekani zinaonesha kuwa watu hasa wa umri mdogo wamefariki kwa heart attack
ALLY SULEIMAN
01:02:04
sisikii nifanyeje
Chiku Lweno
01:02:33
kama ni laptop restart halafu ujiunge tena imenisaidia
Saidi Kuganda
01:03:10
possible but huyu virus ametuvuruga kila hypothesis inaletwa mezani. so far hii blood clots ndio kwangu ina mashiko zaidi
Chambi Chachage
01:03:32
Ally kuna sehemu ya ku-test mic hapo chini kushoto
NURU KADDU MGORI
01:04:43
Cov19-SAR2, pamoja na SARS-COV ya 2002 wana attact ACE2 receptors ambazo ziko kwenye lungs, Liver, Heart muscles and endothelia layer, GIT, Kidneys, bladder etc, so, anaweza kuleta chochote kwenye hizo system @ Kuganda and Lohay
Daniel Nyato
01:05:00
Ally, hapo kwenye mic - kuna mshale unaelekea juu - hakikisha una-tick same as system.
Saidi Kuganda
01:05:05
Nini mtazamo wa serikali kuhusu wanaopata msongo wa mawazo kwa hofu ya covid-19.
Dr. George Lohay
01:06:41
Asante@Nuru Kaddu
Sara Emmanuel
01:06:56
Hali ni tete Sana kwenye Organization yetu tumejaribu kwenda kwenye slums lkn Hali ni mbaya mno mno kwakuwa sielewi ni stress au kukata tamaa wamama wameacha watoto peke yao wako kilabuni pombe zinapikwa Kama kawaida na wanaumoja wao wakikuona wanaweza kukupiga kabisa tafadhali fanyeni kazi na watu wachini pia Hali si nzuri
Saidi Kuganda
01:07:39
so far nina clients watatu nawasaidia, for them not yet tested by now washapoteza usingizi, hataki kulala akidhania kuwa kulala kwake ndio kufa kabisa. Hamu ya kula imepotea, kila akisikia habari ya kifo anajua ni covid19 hofu inaongezeka😑
Pamela Kimario
01:07:39
Kwa nini tusitumie wenyeviti wa serikali za mitaa kuelimisha through vipeperushi au njia yeyote ya kuwasaidia ili kuwafikia wa level ya chini? Inawezekana wengi bado hawana elimu ya kujikinga na Covid-19.
Dr Joseph Masika OAM
01:07:40
Kwa huu ugonjwa tunarajia kuona matatizo kwenye aea 3. Moja kwenye Biomedical, 2 kwenye financial na 3 kwenye mental health eg anxiety suicide and depression. Hii imeonekana huku Australia na China. Serikali imetenga $mil 300 kwa ajili hiyo.,
saidah Bakar
01:08:41
stress inazidi especially kwa sisis Tuliopo maeneo karibu na vituo vilivyo teuliwa kama Amana, every second unasikia mlio wa Ambulance Hii imekuwa stress kweli,
Dr Joseph Masika OAM
01:09:11
Tanzania lazima ianze kupanga ni jinsi gani watakavyokabili hili Tatizo. Kuna watu wengi watapoteza kazi
Christine Paul
01:09:27
Thank you Dr Pendaeli for sharing your experience.
Hussein Mwanga
01:09:37
https://www.surveymonkey.com/r/OSHofHealthWorkersinCOVID19
Mangi Ezekiel
01:09:41
am just thinking about the capacity of our health system to handle mental health challenges brought by COVID-19, in a context where we already are stretched to the limit in that field!
Nisalile Nachiwona
01:09:44
maswali yaliokuja DICOTA- Dear fellows, we have witnessed or at least heard some people committing suicide after untimely passing of several family members due to covid-19! Have you guys considered community engagement in any way at least to help keeping general population sanity at bay and protecting individual's peace especially during this difficult time? People are highly stressed right now, which is in my opinion, might be one of the major contributing factors for the reported fatality due to covid-19 so far! Thanks,
Nuru Mwakitabu
01:10:09
Thanks for sharing Dr Pandaeli
Nisalile Nachiwona
01:11:00
swali lingenie yaliyokuja- wanna know the effects of social media towards covid-19 on individual mental healthy.
Saidi Kuganda
01:11:22
Ubuguyu, health care providers are very reluctant to psychological support. but am sure hawa wenzetu wa frontline wapo so stressed. Tuwasaidiaje??
Christine Paul
01:13:25
Anxiety is being a great problem to health care workers here in Tanzania. Not sure what approach would be best in tackling this; scared to contracting as there are less PPE as we all know and we are all looking to Covid 19 as a death sentence. Tunaomba mwongozo and an approach to help support the mental health of HCW.
Shaaban Fundi
01:14:12
Raised: $21,000. Goal Phase I: $25,000 changia hapa: https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania
Dr. George Lohay
01:14:17
Watanzania wengi wamekuwa katika hali ya taharuki, wamekuwa kama kondoo wasio na mchungaji. Kitendo cha kutokuwa na taarifa kwa wakati ina leta tofu kubwa. Pia ninavyoona uongozi wa juu wa Serikali haujajipanga vizuri, je wananch wafanyeje? Mbona ni kama serikali inaficha taarifa?
Christine Lasway
01:18:17
Qns for Dr. Ubuguyu coming from WhatsApp (1) Are there COVID mental health units at Mlongazila and how do you manage aggressive patients who are COVID positive ? and (2) What challenges are you experiencing managing substance withdrawal patients during the pandemic ? And what measures are taken in rehab or already congested mental health facilities in Tanzania
Gladness Munuo
01:19:23
Very funny sasa hivi almost all major hospital hakuna huduma muhimu kwa outpatient...very hard situation.
Mangi Ezekiel
01:20:01
Dr Ubuguyu please can you share the mental health guidelines for COVID-19
Shabbirhussein Khalfan
01:21:22
Kwa mental health now I see panic in people who are aware because of graph going high
Saidi Kuganda
01:23:10
i would love to see the guidelines hiyo ya mental health kwa covid19 patients
Wilbroad Samson
01:27:51
Kama vile, Serikali yetu, ilivyokuwa ina onyesha vifaa vya kijeshi katika sikukuu za kitaifa. Ni vema pia sasa kutuonyesha, vifaa vya kupambana na Cici
Shaaban Fundi
01:27:54
DIASPORA COVID19 FUNDRAISING CAMPAIGN Raised:$21,000 Goal: $25,000 Donate: https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania
NURU KADDU MGORI
01:28:02
How do we steal hizi best practices na kuzi implement kwenye context ya Tanzania?
Wilbroad Samson
01:28:25
llllglllllllllllllllllklllllĺkllkll
Veronica Mrema
01:29:28
Habari, Swali langu ni kwa Dk. ubuguyu... je mwongozo huo umeelekeza mambo gani mtu binafsi afanye kuepuka athari za kiakili zitokanazo na janga la Corona? au ni kwa tiba za hospitalini moja kwa moja?..
Shabbirhussein Khalfan
01:30:03
hapa Tanzania panick imeshaanza sasa hivi sisi Fikrafya first aiders wako busy counciling na I see demand increasing
Wilbroad Samson
01:30:16
Uwazi unaweza punguza hali ya taharuki.
Furaha Mloka
01:31:57
very good kwa hatua zilizochukuliwa huko Namibia
Nuru Mwakitabu
01:32:44
Namibia big up
saidah Bakar
01:32:57
pongeza kwa Namibia aise
Hussein Juma
01:33:21
Hongereni sana Namibia, lakini kila nikisikia takwimu za kiafrika napata shida kuendana nazo
Saidi Kuganda
01:33:29
Namibia wana akili, duuh!! hongera zao
Raymond Mgeni
01:33:50
Namibia hongereni sana!. Strategy nzuri sana mlianza nayo!... Big Up sana
Dr Joseph Masika OAM
01:34:40
huku Australia pia tuko locked down tangia mwezi wa tatu, immediately wakati tulivyopata case. Pamoja na watu wengi kuwa wasafiri sana, tumeshapoteza watu 94 na hizi nyingi ni toka cruises. Jumala so far ni case chini ya 7K na wengi ni from cruise. In the past 10 days, hapa South AUStralia hakuna case na bado tuko nyumbani. Restrictions zinafikiriwa kuanza hivi karibuni kwa phases
Wilbroad Samson
01:34:50
Big up,Namíbia
Furaha Mloka
01:34:54
nisuala zima la decision making in Namibia, safi sana
mlaluko rajabu
01:35:25
nimefurahia juhudi za madaktari wote.
Hasborn Myenda
01:35:52
Namibia walifanya maamuzi mazuri mapema na hiyo imesaidia.
Dr. George Lohay
01:35:54
Asante @Dr. Joseph Masika kwa taarifa za Australia
Alex Ndagabwene
01:36:30
Cortex- based interventions for anxiety , panic and worry ni muhimu sana kwa wakati huu wa janga la Covid-19 ..
Pamela Kimario
01:36:43
Big up to Namibia
Gladness Munuo
01:37:00
So it seems local Drs and you foreigners you are doing a team work ...good @ Kissah
Peter Mhando
01:37:16
Je population density ya Namibia sio factor muhimu katika 'mafanikio' haya? Idadi ya watu nchi nzima ni ndogo kuliko Dar na population centers ni chache.
Veronica Mrema
01:37:39
hata mm nmejiuliza hivyo @peter mhando
Furaha Mloka
01:37:40
I hope watunga sera wetu wamemsikia Dr Mwambene kutokea Namibia
Mpegwa Mwakang'ata
01:38:01
Fedha haziliwi kama minyororo ya thamani are broken how do people supply food to urban slums whilst maintaining social distancing?
Saidi Kuganda
01:38:21
Big up Kissah, nimeipenda juhudi yenu huko Namibia
Chiku Lweno
01:39:16
Kweli population density inwasidi wengi ni sawa na New Zealand nao wako vizuri nikaja kufutilia kume ni populated tena hata 4milion hawafiki
KISSAH MWAMBENE
01:40:15
Asante sana
Dr Praxeda Swai
01:40:37
Sorry I joined late. Big up Dr Mwambene kwa overview kutoka Namibia. I love the country approach
Furaha Mloka
01:40:59
Population density ni factor, lakini hiyo sio excuse ya kutochukua hatua za msingi kabisa
Michael Loe
01:41:03
Je elimu kiasi gani inatolewa nje ya miji mikubwa na vijijini?
KISSAH MWAMBENE
01:41:07
Asante sana DR PRAXEDA
Brenda Mshiu
01:41:19
hongera Dr kissa ,
Fileuka Ngakongw
01:41:24
sorry my network was not good, just joined
Alex Ndagabwene
01:41:47
Hongera Sana kwa Namibia walichukua maamuzi magumu toka Mwanzo
NURU KADDU MGORI
01:42:12
Population ya Namibia ni 2,540,905 as per July 2020. Tofauti nayoona na Nyumbani ni kuwa na political will ya kufight against Covid-SARS2. Na Wananchi kufuatilia ushauri unaotolewa na wataalam (Risk communication)
Nuru Mwakitabu
01:43:00
Dr ubuguyu vip kwa wazee ambao hawana simu
Peter Mhando
01:43:05
@mloka si swala la visingizio. Basic approaches ni universal ILA unapolinganisha ni budi iwe "Apples to Apples"
Wilbroad Samson
01:43:25
Ni muda muafaka sasa wa kutumia TV na Radio,Social Media kuelimisha jamii juu ya Afya ya Akili.
Sara Emmanuel
01:43:30
Mimi nafikiri mngejaribu kuwashirikisha wenye Taasis zisizo za kiserekali zilizoko mitaa husika
Mangi Ezekiel
01:43:42
Naomba wadau tufikirie how to handle psychological problems/challenges that school going youth might face due to long stays at home and in particular those students who were psychologically prepared to sit for form six exams which have been suspended indefinitely!
Michael Loe
01:44:18
@Omary Ubuguyu - kwanini TBC Radio na TV isitumike kusambazza tariff na elimu mathalani namna ya kujikinga, kujilinda na kulinda wengine, hata iende mali kutoa mwongozo wa nini cha kutarajia mtu anapopoteza mpendwa wake wake
Chiku Lweno
01:44:25
Well said Dr. Ubuguyu. Fear mongers ni wengi Zaidi ni kwenye social media.
Dr. George Lohay
01:44:43
Dr. Ubuguyu, tatizo kubwa ni serikali yenyewe inajichanganya kwenye utoaji wa taarifa. Naibu waziri wa Afya juzi alitoa tamko juu ya kujifukiza madawa, wananchi wako desperate sasa wafanyeje
NURU KADDU MGORI
01:44:52
Great, Dr Ubuguyu
Shabbirhussein Khalfan
01:44:58
Fikrafya wanapanga zoom webinar kwa ajili ya watoto pia ila shida ni kwamba how to reach out kwa watoto ambao hawana mtandao?
Salama Abdallah
01:45:09
Je serikali imefanya jitihada za kuwasiliana na vyombo vya habari kuelimisha jamii wakakataa? serikali ina desturi ya kukimbia vyombo vya habari.
Brenda Mshiu
01:45:10
not only kwa watoto Dr Mangi but also kwa parents , they also need psychological support .
Hussein Juma
01:45:11
Swali langu kwa Dr. Ubuguyu ni kwamba, je kuficha taarifa zinasaidia kwa namna gani dhidi ya kupambana na COVID-19?
Nuru Mwakitabu
01:46:45
Swali zuri Dicota….Dr ubuguyu wambieni watanzania wasalie nyumban jamn
Dr Praxeda Swai
01:46:53
There is a lot of panic around n i think apart from just being related to the life threat that Covid pose..but people lack correct imformation about the covid social demographic risks, resiliance factore as well as the survival chances which wakijua kuna a lot la kuwapa watu watumaini
John Peter
01:47:36
Dr Ubuguyu na madaktari wengine, je hatuoni km ni tatizo la kisaikolojia kwa Watanzania kwa Serikali kuchukua uamuzi wa kuzika ndugu zetu wote wanaofariki with great care. Hapo hapo taarifa zinazotolewa juu ya Covid-19 deaths zipo chini sana. Psychologically, Serikali kuzika, wananchi wanachukulia kwamba ni covid hiyo, report za Waziri Ummy hazionyeshi hivyo. It is easy to conclude that, the reports are cooked
Gladness Munuo
01:47:37
Situation in Tanzania is not good, no proper services at our major hospitals so far.
Saidi Kuganda
01:47:39
tatizo la nyumba za dini ni kule kuachiwa wenyewe kudecide. Serikali hapa hailaumiwi. Lkn ifikie mahala haya manyumba ya ibada yangepumzisha waumini wao kwanza
Furaha Mloka
01:47:47
Dr Ubuguyu , unafikir kuwaachia Waumini uhuru wa kuchagua kuendelea au la h ni sahihi, je ni ushauri gani mlitoa?
Salama Abdallah
01:48:14
Naamini vyombo vya afya vikishirikishwa vitatangaza. Sidhani kama nyumba za ibada zijiamulie ambacho naunga mkono kwa walofunga ila huoni serikali itoe kauli ya lazma zifungwe? na pia kujua takwimu naona ni muhimu sana sana inaonekana kuna assumption wakisema ukweli italeta woga na huenda ndio watu watajikinga.
Renatus Mtobesya
01:48:15
i don't see utekelezaji wa mikakati inayowekwa against covid..from top down..
Saidi Kuganda
01:48:27
Kissah, hiyo team ni muhimu sana. Nawaza kama tutapata hata hotlines yes, big up Namibia
Blandina Kilama
01:48:46
Kudos Namibia...
Christine Paul
01:49:09
👍 Namibia
Saidi Kuganda
01:49:42
Way to go!! PFA team iwepo 24/7 kwa Tanzania
Mary Kapps
01:50:14
Very good Namibia
Hasborn Myenda
01:50:36
Dr. Omary - viongozi wa dini pamoja na kuendela na ibada ziwepo Juhudi za kuhakikisha wanafuata miongozo inayotolewa.
Furaha Mloka
01:51:32
tuna shida sana ya knowledge kuhusu crisis management
Wilbroad Samson
01:51:48
Ili tuweze kushinda hii vita, Wataalamu wetu wa Afya lazima wawe katikati ya decision making,Wanasiasa washirikishwe pale inapobidi.
Veronica Mrema
01:52:07
Bado tunayo nafasi, media na wataalamu kushirikiana bega kwa bega kupeleka elimu sahihi kwa jamii, kulinda afya ya akili.
Mpegwa Mwakang'ata
01:52:18
How does cultural context impact the application of “psychological first aid.”?
Eli Mfinanga
01:52:52
Dr. Ubuguyu, Je viongozi wa kidini mmewapa miongozo/tools kwa ajili ya kufanya hiyo assessment ili waendelee na ibada au kufunga nyumba za ibada?
Furaha Mloka
01:52:59
Wilbroad inaelekea na nina wasiwasi wataalamu wetu nao wanapingana kuhus hii crisis
Dr Praxeda Swai
01:53:29
Mentally watu waathirika sana kwa sababu...kwa majority covid=death..which is not always the case..pamoja na kuchukua correct measures possible mimi naona kwa mental health shida kubwa inaanzia hapa...panic ni kubwa sana both kwa general population na professionals..due to the cognitive distortions walizo nazo watu
NURU KADDU MGORI
01:53:44
doffing and donning PPE
Jennifer Raymond
01:54:30
hongereni sana Dr Kissah..Namibia is doing a tremendous job
Naomi Mwasambili
01:55:15
There has been psychological and mental health first aid delivered in Tanzania. Community workers via NGOs and other organisations have delivered this training
Serafina Mkuwa
01:55:36
well done Namibia, big up Dr Kissah
NURU KADDU MGORI
01:55:50
Pia kwa wagonjwa wenye chronic medical conditions(HIV, HTN, Epilepsy etc), wanapewa long term prescription and dispensing, ili ku enhance social distancing + community outreach services-Namibia
KISSAH MWAMBENE
01:56:48
ASANTE SANA DADA SERAFINA
Joel Francis
01:58:21
mambo mazuri Kissah
gloria matemu
01:58:28
good job Namibia.asante dk Mwambene
Hussein Juma
01:58:30
Naomba niulize swali kwa Dr. Ubuyu. Ametaja kuwa, aggressive patients (kama wapo) wanawapatia methadone. Je, sekta ya afya haioni kuwa MAT kama hiyo inaongeza uraibu (addiction) kwa watu kama hao? Na je, wana namna yoyote ya kuipunguzia nguvu? Kwa sababu, navyoelewa METHADONE ina withdrawals kali kuliko hata madawa ya kulevya.
Chris Abidjan
01:58:45
Kuna mtu anajua idadi ya opioid addicts Tanzania ?
KISSAH MWAMBENE
01:58:57
ASANTE SANA
Dr Joseph Masika OAM
01:59:00
Kweli kwa sisi tulioko Australia ni saa saba usiku
Hussein Juma
01:59:29
Jaman, anayewasilisha maswali anasema haoni maswali, mbona mm nayaona yapo mengi?
Doris Avati
01:59:57
Swali kwa Dr yeyote: Watoto wanaweza kupata huduma gani ya mental health? Watoto wa leo wanaishi katika hali ngumu sana ambayo hawaielewi especially kwa sababu hata wazazi nao wanahitaji psychilogical support.
Martha Mkony
02:00:04
Most of the countries with a total lock kuna zuio la kuuza alcohol and cigarette; je kuna matatizo yametokea kutokana na mazuio hayo hasa wenye uteja wa pimbe na sigara
Christine Lasway
02:00:19
sioni ya wengine naona ya Dr. Omary tu. please nionyeshe. naendelea kuangalia
Hussein Juma
02:00:50
Tafadhali, nimeuliza swali hapo juu kwa Dr. Ubuyu
Christine Lasway
02:01:01
doris avati got you
Doris Avati
02:01:11
thanks
Christine Lasway
02:01:32
tulipose ya ubuguyu kidogo but tunarudi
Wilbroad Samson
02:01:41
Dr.Osati kwa mikakati iliyopo,unadhani lini shule zetu zitafunguliwa?
Christine Lasway
02:01:50
kuna wengine nimemiss?
Hussein Juma
02:02:16
Swali la Martha hapo juu pia limemiss
Christine Lasway
02:02:33
got you mrtha
Christine Lasway
02:02:37
asanteni
Hussein Juma
02:03:20
Tadhali madam, kama utaweza kuli-address swali langu pia ningependa, maana nafanya kazi na soba, hivyo kuna umuhimu nikajua
Furaha Mloka
02:04:11
umeeleweka Dr Ubuguyu, Asante
Alex Ndagabwene
02:04:50
Viongozi wa dini wangepumzisha waumini wao...kwa sasa...maombi yafanyike nyumbani ..Mungu anasikia maombi popote...hekima inahitajika ktk hili
saidah Bakar
02:05:17
Bar, club, Hotels all tourism catchments zimefungwa? if yes how strict are we? I think that's why churches and mosques still open
gloria matemu
02:06:21
Je kwa TZ apart from excercise, alternative medicine, kunawa mikono na kuvaa mask, can know how you treat the patients ..labda km kuna first line drug labda ...
Jackline Kamazima
02:06:30
How do you suggest adults, parents, or guardians communicate with children, who have a history of mental health illness and/or show signs of mental illness, regarding Covid-19 and the effects of it? Also how should one go about not to trigger or lower the chances of triggering traumatic events with children during this time?
Sara Emmanuel
02:06:37
vilabu vya watu wa hali ya chini vipo wazi and doing business as usual
Dr. George Lohay
02:07:08
Dr. @Ubuguyu, kwa wafiwa, kumekuwa na user mkubwa katika mazishi na vifo vya COVID19 Tanzania. Huoni kuwa hili ni tatizo kubwa?
Dr. George Lohay
02:07:29
User=Usiri
Re. Fr. Richard Haki
02:07:59
hongereni sana kwa mdahalo huu wakuu. umegusia ishu ya Tanzania na kuendelea kuhudhuria ibada. waonaje jinsi serikali ilivyojipanga kukabili covid-19? nchi nzima maabara moja huoni pia inachangia msongo wa mawazo? Asanteni
Hussein Juma
02:08:51
Ahsante sana Tina
gloria matemu
02:09:26
Mnawasaidiaje ndugu ambao wapendwa wao wanafia nyumbani?....
Hussein Juma
02:12:01
Dr. Pendael napenda sana responses zako, I wish nipate clips zako if possible
Oliva Kavishe
02:12:30
Do they have any recommendations on books, articles, website online resources that they can share to help those who are going through tough times right now to cope with taharuki?
Furaha Mloka
02:12:30
Fr Ricard Haki, nafikiri kwanza mngeanza ninyi kutueleza kwanini mnawaambia watu waje makanisani wakati mkijua ni vigumu sana ku manage hali ya social/physical distancing, hamuoni ya kwamba mnawajibika sana kwa maenezi ya ugonjwa huu
Re. Fr. Richard Haki
02:12:32
Dr. pendaeli unaamanisha kwamba ukweli ufichwe kwa kuwa ni taarifa na italeta taharuki?
ALLY SULEIMAN
02:12:36
suala la kujifukiza nani anamajukumu ya kulizungumzia kwa umma maana watu wengi wanakuja na tiba zao. mwisho wa siku mwananchi ndo ambaye ama itamsaidia au atadhurika kutokana na kutojua cha kufanya akaumiza mapafu
Chiku Lweno
02:12:40
Dr. Ubuguyu, mna fursa kuruhusu volunteers kutoka kwenye jamii ili kuongeza nguvu kuisaidia jamii, kwa tabia ya Covid tulikoona kweingine idadi itaongezeka na hivyo taharuki zitazidi kwenye jamii
Christine Lasway
02:12:47
@Hussein - webinar inakuwa recorded na itasambazwa
Hussein Juma
02:13:19
Shukrani sana. You are so adept in providing factual responses. I like you.
Jackline Kamazima
02:20:03
I’m sharing a great resource that is useful, particulalry for those in the U.S., from the National Alliance on Mental Illness (NAMI), the nation’s largest grassroots mental health organization. This guide answers frequently asked questions regarding the intersection between COVID-19 and people affected by mental illness, their caregivers and loved ones: https://www.nami.org/covid-19-guide
Dr. George Lohay
02:20:45
Thanks @Jackline Kamazima
Hussein Juma
02:21:22
Naomba niongezee swali kutokana na majibu ya Dr. Ubuguyu. Kwa kuwa hajaeleza athari za methadone, kwa nini sasa angalau tramadol isitumike kama mbadala wa methadone, kama shida tu ni kuwa aggressive kwa hawa waraibu?
Shabbirhussein Khalfan
02:21:51
Fikrafya tuko tayari kusaidia Dr Ubuguyu anytime
Veronica Mrema
02:22:41
je? kuna list ya wataalamu wa afya ya akili ambao imeandaliwa, media tunaweza kuwasiliana nayo katika janga hili la Corona..., kwa ajili ya kufanya mahojiano pale tunapohitaji ushirikiano? ili kupeleka taarifa sahihi kwa jamii
Veronica Mrema
02:22:52
tunaiomba
Alex Ndagabwene
02:23:51
Asante Kamazima
Jackline Kamazima
02:24:47
My pleasure and thank you all
NURU KADDU MGORI
02:25:25
Swali ni kujiuliza unapiga nyungu kabla hujaumwa ili iweje, je ukipiga nyungu inakulinda? (Sio swali ila ni food for thoughts)
Florence Temu
02:25:34
@Dr Ubuguyu - Licha ya kushughulikia afya ya akili kwa groups or individuals waliougua au kuathirika na COVID-19 tu bali public (Jamii) nzima inahitaji psychological intervention of some sort- . kuna hofu sana.. na stigma kiasi ..unaonaje ukawa na mkakati wa public-wide psychological support / counseling?
NURU KADDU MGORI
02:26:17
Great contribution
Manka Nkya
02:26:20
hiyo nyungu pia Naona hatari zaidi kwani watu wana share .. which increase risk of exposure at high risk
gloria matemu
02:26:55
Dk Ubuguyu baadhi ya watu wanafikiri kuwa masks zinaongeza madhara yaani sio salama..Je mnaonaje hili?
jacqueline shoo
02:27:24
wataalamu wa afya tungeweza kupunguza taharuki kama tungekua kasi katika utoaji elimu sahihi hasa kwa watoahuduma wenzetu.hofu ni nyingi mnoo kwa vile taarifa za mtandaoni ndio hizo hizo watoa huduma nao wanazitegemea. unapoona mtoahuduma mwenzio anaenda isolation taharuki inazidi kua kubwa mno.
joyce Matondane
02:30:58
pia ingredients za kufukiza ziwe clarified, maana kuna so many formulas
Saidi Kuganda
02:31:28
kufikiria masks kuwa sio salama, ni new taharuki imeletwa hapa nchini. Let us think positive for positive psychology. Yaani tutakwisha kwa hofu tuu.
Alex Ndagabwene
02:32:46
I second you Dr Kuganda
Saidi Kuganda
02:34:58
Covid19 aftermath itakuwa ngumu zaidi kama hatujafanya intervention now now
Joe Kabukoba
02:36:21
Kuna manufaa gani kama mazishi yanazuiliwa na makanisa na misikiti bado zinafurika?
Saidi Kuganda
02:36:29
Dr Ubuguyu, safi sana kwa ufafanuzi
Kassim Sheghembe
02:37:05
asante sana Dr. Omar Ubuguyu
Chiku Badru
02:37:09
but what doesn't make sense is misongamano bado ipo kwenye nyumba za ibada,masokoni nk why only kwenye mazishi ndio wazuie msongamano?
Dr. George Lohay
02:37:38
Kuna matatizo makubwa sana yanayotokana na usiri wa serikali, je kuna mtg ana ujasiri wa kumwambia Raisi Magufuli kubadili approach. Nampongeza Mboye kutoa tamko kwa apande wake
Saidi Kuganda
02:38:35
Nadhani basi wasitutangazie namba zozote za visa vipya. Tupigane kimya kimya. Hizo namba wazipeleke hukoo kwa watu wa takwimu. Labda itasaidia
Dr. George Lohay
02:38:36
mtg=mtu
Sara Emmanuel
02:40:07
email ya Dr. Ubuguyu pls nimemiss wakati anaitaja
Rama Ponda
02:40:55
oubuguyu@gmail.com
Mboka Compton
02:41:10
Shukrani sana kwenu nyote kwa mazungumzo na ushauri kwetu wote katika kupigana na janga hili la Corona.
Sara Emmanuel
02:41:25
Thanks
joyce Matondane
02:41:37
Kuna possibility ya kuwa na viongozi wa dini kushiriki zoom meeting in future ili tupate ushirikiano wao
Re. Fr. Richard Haki
02:41:38
pongezi kwenu nyingi sana wadau.
Anna Janice
02:42:01
any efforts towards matching funds?
Innocent Mwombeki
02:42:26
Very good all contributors and participants
Nuru leah
02:42:42
inavyoonekana watanzania wengi wanakwenda na takwimu zinazotolewa na serikali Ndio maana wengine bado wanakwenda kwenye mikusanyiko bila wasiwasi. Labda wangepata taarifa kamili wangejilinda zaidi na kutokwenda kanisani, msikitini, masokoni, kwenye mabar , disco nk
mlaluko rajabu
02:42:56
ameeleza vizuri ndugu @osati kuhusu matokeo ya nyungu ktk RS..tuielimishe jamii zetu
Christine Paul
02:43:00
Thank you diaspora for supporting HCW at home. Appreciate so much. 🙏🙏🙏
Oliva Kavishe
02:43:04
https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania
NURU KADDU MGORI
02:43:04
Asanteni sana
Zawadi Sakapalla-Ukondwa
02:43:43
Agnetta Kamugisha; mkazi wa North Carolina; Ph. 919-724-2291Tina Lasway ; mkazi wa Texas and DIACOTA Rep.; Ph. 919-309-6994Nabila Ghassany; mkazi wa Georgia; Ph 404-988-2178Nassaro Basalama; mkazi wa North Carolina; Ph 919-519-1624Zawadi Sakapalla-Ukondwa mkazi wa Maryland; Ph 301-379-2342
Mboka Compton
02:43:43
Tupo Pamoja!
Sarah Chuma
02:44:47
Can you provide me info on tomorrow's meetingskchuma@gmail.com
Vianney Bruno
02:45:17
Yay, bravo TAKC kutuwakilisha vyema ktk kampeni ya kuchangia kusaidia kampeni ya kusupport madaktari na wauguzi Tz kupata vifaa kupambana na COVID19
James Msirikale
02:45:31
Shukran kwa watoa mada wote
Irene kindole
02:45:36
asanteni kwa all the efforts u are taking
Hussein Juma
02:45:41
I, too, need tomorrow's meeting.unclekaso@gmail.com
Lunda Asmani
02:46:05
https://us02web.zoom.us/j/84600737896?pwd=VVc1UjgvNFdKY291SVdmTVNkeWlNUT09
Steven Lwendo
02:46:13
naona MAT wanatumia hashtag ya #NachangiaKuokoaMaisha
Lunda Asmani
02:46:17
mkutano wa kesho 👆🏾
Re. Fr. Richard Haki
02:46:20
KAMA MADAKTARI KWA UZOEFU WENU HUKO HASA MAREKANI MNAISHAURI NINI SERIKALI YA TANZANIA KUKABILIANA NA HILI JANGA?
Re. Fr. Richard Haki
02:47:06
what time for tomorrow Dr? same time?
Steven Lwendo
02:47:18
hata kama sio $$ tukisaidia kuhamasisha wengine itakuwa safi #NachangiaKuokoaMaisha
Steven Lwendo
02:49:16
Medical Association of Tanzania (MAT)@association_mat·1hMAT tunafurahi kuungana na@VodacomTanzania@CloudsMediaLivekatika kampeni ya kuchangia/kununua vifaakinga dhidi ya COVID-19kwa watumishi wa sekta ya afya.Tuma mchango wako kwa Lipanamba 0199199@HusseinBashe@zittokabwe@ElishaOsati@umwalimu@CRDBBankPlc#NachangiaKuokoaMaisha
Steven Lwendo
02:49:23
That's their tweet
Steven Lwendo
02:49:44
https://twitter.com/association_mat/status/1256598955724587013
Emmanuel Minja
02:49:52
question: are these donations going to go to private clinics or hospitals like KCMC or Christian healthcare facilities?
Christine Paul
02:50:53
Dr Osati msitusahau PPE National Mental Health Hospital - Mirembe
Dr. George Lohay
02:52:18
What is the website @Patricia
Chiku Lweno
02:54:00
Moral conscience--good one Patricia!
Steven Lwendo
02:55:34
naona na Vodacom wamemention the same Lipa number and that funds will be directed to PPE @CCBRTTanzania
Steven Lwendo
02:55:36
https://twitter.com/VodacomTanzania/status/1256514389999583232
Steven Lwendo
02:55:55
https://twitter.com/hendihisham/status/1256503010680856577
Nesia Mahenge
02:56:06
nspcc.org.uk the childline
Saidi Kuganda
02:56:12
PHQ-9 TUNAYO YA KISWAHILI
Saidi Kuganda
02:56:27
pia GAD 7 zipo hapa kwetu
NURU KADDU MGORI
02:56:38
Patient Health Questionnaires-self administered questionnaire with 9 questions ,inasaidia ku screen Depression
NURU KADDU MGORI
02:56:58
Said Kuganda nitumie tafadhali
Saidi Kuganda
02:57:38
zote zipo, always available
NURU KADDU MGORI
02:57:53
@Said Kuganda, check your private chat
Saidi Kuganda
02:58:17
nitumie hiyo email yako kwn inbox maana hapa mkutano ukiisha tuu, kila kitu chafutika
Hussein Juma
02:58:35
Jaman, hii video tunaipataje, baada ya mkutano kuisha?
Shedrack Bwatota
02:58:42
Ahsante Sana. Kazi iliyofanyika ni kubwa sana, imeniinua pakubwa.
Christine Lasway
03:00:24
Hussein - tutashare WhatsApp, twitter, facebook...
Alex Ndagabwene
03:00:24
Safi Sana Dr Pendaeli kwa summary hii
Sara Emmanuel
03:00:43
pls naomba na Mimi hiyo doc @ Nuru
DICOTA USA
03:01:07
Will post full recording on Twitter: @frankminja
Doris Avati
03:01:20
Dr Minja, kwenye issue ya home schooling itakapowekwa kwenye mada, nashauri uongezee na issue ya grief process and other related topics
Saidi Kuganda
03:01:45
twitter!!! tutumieni kwn email plzzz
DICOTA USA
03:01:49
Yes, will do
Dr. George Lohay
03:02:17
@DICOTA naomxa email yako
DICOTA USA
03:02:19
Yes, will send email to all registered participants pia. Tahnks
Christine Lasway
03:02:24
Saidi tunayo email yako? if not unaweza nitumia privately.
Sara Emmanuel
03:02:50
ok
Christine Lasway
03:02:54
dicota@dicotausa.org
Dr. George Lohay
03:03:04
thanks
Saidi Kuganda
03:03:05
Dr Kissah, wanangu wapo kwn total lockdown, sema wapo wengi naona kama wanaconsole each other.
Saidi Kuganda
03:03:39
Yaani watoto ni changamoto kwa kweli pasuakichwa
Alex Ndagabwene
03:04:24
Thanks Dr Kissah kwa hitimisho kuhusu athari ya stress za wazazi kwa watoto
Hussein Juma
03:04:48
Tina Lasway, naomba email yako au namba ya whatsapp please
Christine Lasway
03:04:48
LINK YA WHATSAPP group ya Diaspora afya --- hapa utapata info in real time pia -- https://chat.whatsapp.com/GKbeixdikFu7Dfo7JIR6g2
Christine Lasway
03:05:07
dicota@dicotausa.org
Christine Lasway
03:05:23
Hussein Juma - email yetu hiyo hapo juu
Aluseta Kansary
03:06:18
Asante kwa kukumbuka nyumbani vifaa ni changamoto kubwa Kilimanjaro ikumbukwe mno changamoto ya vifaa ni kubwa ktk vituo vya wilaya.
Alex Ndagabwene
03:09:05
Kweli Dr Kissah self care no muhimu kwa wafanyakazi wote hasa ktk kipindi hili...Big up huko Namibia
Hussein Juma
03:09:10
Tina,na DICOTA kwa ujumla mnajua lakini kuwa siasa za nyumbani pia zina shida kwenye hili pambano? Mtu akisaidia barakoa, anashikwa, sasa hili vipi? Imetokea kwa Albert Msando, kule Arusha, alipojaribu kutoa barakoa kwa wandishi wa habari. Implying that, kusaidia kama DICOTA inavyosaidia, linaweza kuwa shida kwa siasa za Nyumbani huku Tanzania.
Alex Ndagabwene
03:09:58
* no = ni
Doris Avati
03:10:26
Wauguzi wetu poleni na asanteni sana!
Raymond Mgeni
03:12:02
Shukrani sana Dkt. Kissah Mwambene
Raymond Mgeni
03:12:44
Tutashukuru sana kupata mawasiliano ya Dr. Kissah
Zuweina Kondo
03:13:55
Thank you Kissah!! Zu
Rama Ponda
03:14:12
Dr. Mwambene asante sana kwa mawazo yako, kwa kweli umeonyesha umahiri w ahali ya juu katika kutujuza yanayoendelea Namibia na jinsi sisi tunaweza kujisaidia na kusaidiana katiak kipindi hiki kigumu. Asante sana.
Furaha Mloka
03:15:03
Asante sana Dr Pendaeli
Furaha Mloka
03:15:20
Asante sana Dr Patricia
Furaha Mloka
03:15:47
Asante sana Dr Kissah
patricia Jacob
03:15:49
karibu. asante for joining us
Michael Kasubi
03:16:08
Dr. Kissa, Asante kwa kututia Moyo
Furaha Mloka
03:16:48
Asante sana Dr Osati
Furaha Mloka
03:18:15
Asante sana Dr Omary
Alex Ndagabwene
03:18:34
Dr Ubuguyu ..umenena kweli
Oliva Kavishe
03:19:29
but we cannot accept blindly
Jackline Kamazima
03:19:40
Thank you all very much for a very insightful webinar!! Be well.
Alee Maletnlema
03:20:26
habari zenu wote. naomba kuuliza, kuna mda wa maswali mwisho? na ni hapa pakuuliza?
Oliva Kavishe
03:20:26
when we call out for data we are holding the fort accountable.
Oliva Kavishe
03:21:18
instead of being fearful watu wata panick then let’s communicate openly
Oliva Kavishe
03:21:55
TZ is already silencing the dissenters so our skepticism is fair
Veronica Arnold
03:22:05
thanks alot
Zuweina Kondo
03:22:05
well done Ubuguyu
Zuweina Kondo
03:22:16
you nailed it
Alee Maletnlema
03:22:37
naona mmefika mwisho. next weekend basi.
Alex Ndagabwene
03:23:02
Data kamili zitasaidia jumuia ya kimataifa kusaidia msaada wa Aina gani tunahitaji kupambana na covid 19
Dr Jovin Tibakweitira
03:23:09
Asanteni
Sia Joseph
03:23:12
asanteni nyote👏👏
Martha Mkony
03:23:25
Mada imeenda vizuri sana.Asanteni
Baruani Mshale
03:23:48
Thank you very much
Alex Ndagabwene
03:24:00
*kusaidia = kujua
Aluseta Kansary
03:24:03
Asante sana
Lillian Mgonja
03:24:23
Good job everyone!
Vianney Bruno
03:24:28
Asanteni sana Very educational meeting as always
Oliva Kavishe
03:24:51
https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania
Mary Kapps
03:25:00
Thanks to all the doctors and team for your coordination.
Dr Fii Pendaeli
03:25:04
Asanteni sana nyote karibuni tena wiki ijayo. Stay safe
Zawadi Sakapalla-Ukondwa
03:25:06
Agnetta Kamugisha; mkazi wa North Carolina; Ph. 919-724-2291Tina Lasway ; mkazi wa Texas and DIACOTA Rep.; Ph. 919-309-6994Nabila Ghassany; mkazi wa Georgia; Ph 404-988-2178Nassaro Basalama; mkazi wa North Carolina; Ph 919-519-1624Zawadi Sakapalla-Ukondwa mkazi wa Maryland; Ph 301-379-2342
Romuald Mwesiga
03:25:49
Je tunaweza kupata presentation hii?
Zawadi Sakapalla-Ukondwa
03:26:48
Asante sana kwa wote mlochangia kwenyr campaign ya Dhibiti Mlipuko.
Oliva Kavishe
03:27:07
recording itatumwa ndio at Raymond
Romuald Mwesiga
03:27:12
Asnte kwa mkutano