
24:38
Mwalimu Mabala, Hapo kushoto chini kabusa kwenye kitufe chenye picha ya maiki, Kongoli/Bofya kuna sehemu ya ku-test mic.

26:43
Halafu Mwalimu Mabala, hapohapo opt kutumia computer microphone

30:06
kuna Saturday wanaomba kujoin

30:11
inakataa

35:24
Dr.Minja,the correct word ni mchepuo si mchepuko...

43:01
Genetics=vinasaba

43:10
Genes ni nasaba

43:28
*vinasaba

43:50
Hivyo, genetics ni stadi ya vinasaba

43:51
Yes, you are right, Sue.

44:14
uhandisi wa maumbile

44:41
Gene's zinaitwa Jeni kwa tafsiri sisisi

44:59
Asha, hapo unaingia Kwenye GMO

45:20
genetic-maumbile

45:53
Uhandisi wa vinasaba ndiyo genetic modification inayoleta GMOs

46:38
Au genetic engineering

46:40
kumekuwa na changamoto ya budget kusupport sekta ya elimu nchini

49:53
Hapa ndiyo Diaspora we could come in. As a science major student in Tanzania back in the 90’s I know kama si tuition nilizofanya kila mahali I wouldn’t have made it.

50:39
Napenda kuwa na kituo cha Sayansi! Shule zinaweza kupeleka wanafunzi au wanaweza kujiendea wenyewe. Shinda kubwa ni accessibility wapo watoto hawataweza hata kupata nauli ya kufikako.

52:51
Well said Beatrice

56:29
Indeed Dada Beatrice.

56:53
Naomba share links za hizo training za Uongereza na huku Marekani please

01:03:05
Uhaba wa waalimu wa Literature upo tangu zamani. Mimi nilisoma Ualimu Korogwe TTC miaka ya 90-93 ambapo nilisomea Ualimu wa Kiswahili na Literature lkn sikufundisha nilipomaliza nikasoma kitu kingine kabisa. Na wenzetu wengi waliomaliza walienda chuokikuu walihamia kusoma Sheria au fani nyingine , ni shida ya muda mrefu

01:07:39
ni kweli concept ya elimu bure haiko clear kwa wazazi wengi lakini pia % kubwa ya watu wanaishi kijijini ambako hata chakula kwa watoto ni shida, hela ya vitabu ni changamoto. cha kufanya ni kuwasaidia wazazi kiuchumi.

01:08:18
i agree with you Dr Frank

01:08:29
Hali ya uchumi, mtazamo kuhusu elimu, sera vyote hivi ni changamoto.

01:10:45
kwa sehemu nyingine wazazi uwezo wanao kidogo ila hawana elimu ya kutosha juu ya elimu bure ilivyo na mapungufu yake so ukimwambia anunue kitabu hakuelewi na anaona mwalimu unafanya hivyo kwa manufaa yako tu

01:11:28
Aisee hii ya Rehab Naomba utupe link ya hiyo center please

01:18:06
nafasi za kujiendeleza - please share 1.https://www.chevening.org, 2. https://tz.usembassy.gov/education-culture/educational-exchange-programs/fulbright-program/

01:20:53
Kaso na matumizi je

01:27:28
Yaani matumizi ndo kabisa, usiseme.

01:27:41
3. https://www.erasmusprogramme.com/post/who-can-apply, 4 https://www.uac.edu.au/future-applicants/scholarships-and-schemes/equity-scholarships, 5 https://www.crimsoneducation.org/uk/blog/admissions-news/uk-scholarships-for-international-students-made-easy/

01:27:43
women empowerment still bado so Hawa the bus driver tutamsoma tu

01:33:38
Dr. Nkurlu, nakupata kwa mbali sana, sogea kwa mic kidogo

01:34:25
https://chat.whatsapp.com/DQWuL9mDAurHCfdiIIaZbN

01:34:31
that’s the link

01:35:47
Mwl Hiza, naomba unitumie kwa WhatsApp, +255 739947397 hyo link, nashindwa kujiunga, natumia PC

01:36:21
thanks Catherine. I will join. all who needs mentor ship na update ya scholarship link hiyo hapo..

01:40:39
Pia vitabu vya Ulaya vinaenda na mazingira ya ulaya. Kwa hiyo havivutii watoto huko Tanzania.

01:43:27
my concern is right dislposal ya hizo chemicals

01:52:57
mjadala mzuri,nakubaliana na Mwl Hiza,Hussein na Mabala kwa mchango mzuri!!Matumizi ya teknolojia katika kujifunza yanaweza kupunguza kutatua hii changamoto ya vitabu kwa kua na computer lab ,projekta n.kpia professional devl course za mara kwa mara ni nzuri kwa walimu kuweza kujadiliana kuongeza uwezo wa walimu kama mbinu za ufundishaji nk.na mawasiliano baina ya mzazi na mwanafunzi ni muhimu sana

01:54:01
Je kwa nini emphasis inawekwa kwenye ufaulu wa mitihani na si kuboresha uelewa na ufahamu?

01:56:20
Dan Nkurlu upo sawa. Issue ni memorization na silo mastery. Kwa kiasi Fulani inasikitisha kuona vitu Kama skills, habits na attitude za watoto hazina assessment tools

01:57:58
Mwalimu Hiza hongera kwa kueleza hali halisi mashuleni. Ukweli ni kwamba walimu wa shule mnafanya kazi kwenye mazingira magumu sana. Ukiacha hayo ya vifaa na mazingira magumu ya kujifunzia na kufundishia kuna hili la wasimamizi wa elimu kusisitiza ufaulu badala ya kujifunza. Katika mazingira haya ni vigumu mwalimu kumsaidia mwanafunzi kujifunza kwa kina na kujenga uwezo wa mwanafunzi kufikiri, kudadisi na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayowazunguka.

01:59:03
Dan Nkurlu tatizo nafikiri lilianza pale siasa ilipoingia sana katika elimu imepelekea focus kuhama na ndio maana siku hizi hata baadhi ya walimu wako radhi wamuibie mtoto mtihani ili afaulu na yeye abaki salama bila kuangalia effect yake kwa muda mrefu

02:00:02
Leveri... nafikiri hii cramming ili kupasi mitihani kwa wanafunzi na vipimo vya ufanisi wa Waalimu kwa idadi ya wafaulu ni kitu kinazorotesha mfumo wetu wa Elimu na zao lake ni wahitimu wengi wasio na uwezo wa kuwa na basic skills au kuwa na critical thinking aptitude

02:01:48
i agree with you, bro Dan. using a student-centered approach requires time and sufficient resources whicb teachers do not have control over and that's the reason they deliver the instruction by means of a lecture and of course, many students do not pay full attention and when asked questions, they are incapable of producing answers.

02:02:52
Dan nadhani sababu ni hulka ya kutafuta matokeo ya muda mfupi. Ukitaka 'kusiasisha' mafanikio katika elimu inakuwa rahisi kukimbilia matokeo kuliko kujenga mazingira ya mwanafunzi kujifunza kwa kina (apate ujuzi nk).

02:03:04
walimu wanapenda sana kubadilika na kufanya yale mazuri, lakini mazingira hayawaruhusu.

02:03:18
ndio maana Dan kutatua hii cramming kwa wanafunzi mwl wanatakiwa apate professional devl course za mara kwa mara zimsaidie kujua mbinu za kutumia na kuacha kumkaririsha mwanafunzi hapa elimu inatakiwa ibase kwenye competence zaidi

02:04:00
Mitihani ndiyo kila kitu kwa elimu yetu. Labda hapo itokee utekelezaji wa filosofia ya Mwl Nyerere kwamba, 'the importance of exams should be downgraded'.Leo hii Mwl ukitangaza kuwa unafundisha jinsi ya kuchambua vitabu vya fasihi, na mwingine akatangaza kuwa anafundisha vitabu vilivyochambuliwa, lazima huyu wa pili atapata wanafunzi wengi sana.

02:04:05
Upo sawa Dan…. Na hili limeporomosha sana relevance. The connection kati ya kinachosomwa darasani na uhalisia wa maisha ni 10%. Engagement ya wanafunzi inashuka na hatimaye wengi wanakuwa wakorofi.

02:08:37
hata hivyo, sisi kama Wazazi nasi tunawajibika sana kwa kuweka priority kwenye ufaulu wa mitihani na si kuelimika kwa mtoto! tunaweka mfumo wa kutukuza na kumzawadia mtoto aliyefaulu na scolding yule mwenye C

02:09:39
Lakini pamoja na changamoto hizi inawezekana ku-balance ufaulu na uelewa. Tatizo naona ni maandalizi ya mwalimu. Ushirikishwaji wa mwanafunzi katika ujifunzaji unawezekana. Nimekuwa nikiendesha mafunzo kwa walimu kuhusu mbinu bora ya kumshirikisha mwanafunzi na kumwekea mazingira ya utayari wa kujifunza. Hili linawezekana mwalimu akiwa na mtazamo chanya.

02:16:03
Upo sawa Christian!

02:18:08
shuleni kwetu tunafanya hivyo pia tumeanza mwaka jana August na pesa inatumika kununulia chakula cha walimu wanaobaki kufundisha watoto muda wa ziada from 3:30pm to 5:30pm

02:21:39
cramming was a colonial plan. While they have abandoned it we have not. Pia na yenyewe ilikuwa inafuatana na maxingira yao

02:22:15
Sorry Dr. Minja, nilinyanyua mkono kimakosa

02:29:22
Hiyo ni "gifted"

02:29:46
Ni kipaji kizuri kabisa cha kujivunia.

02:30:37
Wangeweza kusaidia wengine pia, sharing knowledge.

02:30:47
Hiyo ni changamoto kwa kweli, je walimu wana mapemdekezo yoyote yatakayo Sukuma vipaji

02:33:04
mfumo wetu wa Elimu na kiutawala umejijenga kwa kufanya mambo kutoka juu (top level thinking na decision making) badala ya kuwa from ground kwenda juu... hasa tukiwahusisha Waalimu kwenye kutengeneza mitaala maana wao ndio first line workers na si behind the desk technocrats

02:34:54
Wadau wanaofanya professional development programs katika mazingira ya shuleni bure wapo wengi. Tumeenda kwenye shule nyingi kujaribu kuwasaidia mbinu za ufundishaji lakini walimu wengi hawaoni thamani ya mafunzo haya.

02:34:57
Kwenye issue ya vipaji na udadisi: Wazazi nao wana-play role kwenye hili. Kama hawatoi himizo au kutuwakilisha moyo watoto basi watoto au watakata tamaa au wasione umuhimu wa vipaji walivyo navyo. Nahuatl zamani hii ilikuwa sio kipaumbele kwa wazazi maana ilikuwa haina ahadi za kufanikiwa ktk maisha ya baadae ya watoto.

02:35:43
Je ni vipi tunaweza ku-discourage huu mfumo wa “Nauli na Bahasha”? Kama Waalimu wana bus pass... iweje wakinge mikono ya nauli nyingine?

02:35:55
...kuwatia moyo sio kutuwakilisha moyo (hapo ni typo)

02:37:04
pia kuna tatizo la mtazamo ambao mtu akizingumzia achievements zake, jamii hutazama kama mtu huyo anajivuna, hali hii hufanya watu kuwa waoga kusema mazuri mengi wanayofanya na ambayo yangeigwa

02:38:44
I agree Harriet... kuna discouragement kubwa ya watu kuonyesha mafanikio... ni tatizo la mfumo wetu wa kisiasa ambapo success was ill defined

02:41:36
Kabisa @ Dan, ni vipi tunaweza kubadilisha huo mtazamo?

02:44:49
nafikiri kwanza tuache masimango na vijembe vya kudharauliana... vipanga versus vihiyo-kilaza... pili tuwe wepesi kujenga ushirikiano wa njia za kupata mafanikio... share positively and constructively your path towards becoming successful and not being pompous or discourage wengine

02:46:44
anachoongelea sasa hivi Mwalimu Bwana ni jambo la kutafakari kwamba upande wa Serikali kuna ugumu wa kuwa na mafanikio endelevu

02:47:26
Asante!

02:53:40
Point zako ni Njema, Ndugu Dan Nkurlu.

02:55:16
wazo kuhusiaha na vipaji: kuna fursa kubwa ya kukuza vipaji vya informal education ambapo watoto wanaweza kwenda kwenye maeneo ya kuwaruhusu upeo na utashi wa udadisi hasa kwenye fani za sayansi na teknolojia. imagine mtoto wa darasa la Nne anaweza shika tupa, bisibisi, nyundo, patasi...akajifunza iwe ni uhunzi, useremala, Ufundi wa umeme, magari... upishi, ushonaji, biashara, utunzaji fedha vitu ambavyo ni more practical... na wakifika sekodari... ufahamu wao utawasidia wakikutana na nadharia wanayofundishwa darasani.

03:02:05
Naomba kupendekeza shule moja inayoitwa Mtakuja Secondary School iPod Moshi Tanzania. Its a private school that puts emphasis on critical thinking and creation

03:02:34
iPod = ipo

03:03:09
nichomekee hili... mfumo wa ukariri uliletwa na kusimikwa kwamba ndio sigh of excellence na kutuvua nia, shauku na matamanio ya kuwa wadadisi na hata kujitambua kuwa ukifeli au kushindwa kitu ni fursa mpya ya kuangalia pale tulipokosea. nafikiri sisi baada ya uhuru hatukuona hili kama mapungufu na athari zake katika maendeleo ya Taifa kwamba bado tuko kwenye mfumo wa ujima na uduni katika uzalishaji

03:03:43
Naomba kuuliza watoto wenye autism huwa wanafundisha vipi huko Tz?

03:07:49
Mine is +255763544026

03:08:30
We need change in our education system.

03:13:42
thank you very much Mwalimu Hiza with your closing statement tasking us to be responsible to demand

03:13:54
accountability in shaping our future

03:14:47
Dr. Suzy Nkurlu, Dr. Juma...Mwalimu Mabala... Shukrani kwa kutuongezea ufahamu wa mfumo wa elimu

03:20:13
thanks Dan

03:20:21
thanks everyone

03:20:40
Thanks all

03:20:44
Thanks