Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la COVID-19
- Shared screen with speaker view

33:36
Nzuri sana Sia. Karibuni nyote. feel free to send your questions here..

36:28
Dr Minja, can you please share with me this graph email? unclekaso@gmail.com

38:20
Hussein Juma, hiyo grafu hii hapa: https://twitter.com/frankminja/status/1259074189132210177/photo/1

38:52
Ahsante sna kaka Chambi

49:09
I am following the meeting

49:23
I would like to add on Sweden vs Tanzania comparison since naishi Malmรถ, Sweden. Pamoja na ubora wa mfumo wa afya hapa bado wako makini sana kufika hospitali hivyo basi wanahudumia watu kwa kutumia mifumo ya mawasiliano zaidi tofauti na nyumbani Tanzania. Bado tupo kwenye hili janga hivyo kila nchi tutaihukumu vizuri baada ya janga hili.

55:22
Masahihisho kidogo kwa Dr. Balewa. Kwa sasa tuna Educational Psychologists Tanzani, ingawa tu hakujawa na field independent. Tayari kozi zinafundishwa chuo kikuu cha Dodoma na Chuo kikuu cha Dar Es Salaam.

56:44
I know some few Educational Psychologists in Tanzania too

57:08
Thanks Sadiki

01:00:47
With most schools moving to virtual platforms, social distancing etc. how has this impacted your role?

01:01:56
Kwa sasa Tz hata special needs teachers hakuna wa kutosha na pia developmental learning bado haifahamiki. Pia mfumo hauko clear, kuna shule mchanganyiko na nyingine za kitengo for special needs only.

01:05:00
Doris, Special needs teachers are there, lots of them. The challenge is that, they are merely at home unemployed. Achilia mbali vyuo vingine, chuo kikuu ha Dodoma peke yake kina graduates zaidi ya 5,000 wa special needs wasio na kazi.Suala la inclusivity kwenye elimu kwa kweli ni changamoto. Hata hivyo, bado kisaikolojia pia ipo recommended kuwa, wanafunzi wenye uhitaji maalumu wawe integrated ili kuwafanya wajiskie kuwa wanapendwa. Ila tu huduma zao zinapaswa kuwa mainstreamed.

01:07:11
Hussein, good to know kuhusu hao 5,000 graduates maana huko mashuleni hakuna.

01:15:28
Asante Dr. Mlelwa nimepata elimu nzuri

01:18:36
Ahsante Dr. Mlelwa๐It's true about "learning memory". While teaching math to my 8 year old son, he said "Mom, how can i learn what you are teaching me if you are yelling at me?"It was a lesson i used with my supervisor at work. And it worked๐!

01:22:12
thank you Dr, very helpful

01:29:11
Asante Dr. Lema

01:29:51
Excellent Dr. LEMA

01:30:11
Asante Juma

01:31:39
Dr Lusajo thanks a lot

01:34:44
Hakuna takwimu rasmi za kuonyesha ni familia ngapi zimeathirika ila kutokana na uhitaji wa huduma za kisaikolojia ni Mwanga kuonyesha hali ikoje hasa nikiangalia hili kabla ya kuja kwa mabadiliko haya.

01:35:53
@Dr Lusajo: ni wakati/umri gani ndio sahihi wa kuwapatia watoto wetu access to technology? mfano simu, laptop, video games etc.

01:36:38
Lema, kama alivyosema Minja, takwimu kama hizo Tanzania ni changamoto sana. Ni changmoto kwa sababu, bado kuna denial kwa umma. Hivyo mpaka sasa Tanzania bado inaamini kuwa kuweka wazi takwimu kama hizo ni kusababisha mtafaruku na 'kutishana'. Kwa hiyo ni changamoto sana

01:37:52
mwongeaji sasa hivi ni nani, yuko wapi? nilikuwa nimechepuka kidogo (multi tasking)

01:39:46
Asante Dr. Lusajo hapo kwenye mapigo

01:39:58
Nashukuru sana kwa mjadala mzuri na nimeelimika kwa kweli @ Dr Mlawa, Dr Lema & now Dr Lusajo

01:40:15
Dr Kajula Je mzazi akiwa mkali kwa mwanae kuna madhara gani kisaikolojia?

01:40:36
Sasa kuna wale watoto wanao rudia rudia kosa moja unawafanyaje?

01:41:01
nimefurahi kuwa sehemu ya majadiliano haya

01:41:36
Nimefaidika sana na huu mjadala. Asanteni

01:43:45
Madaktari mmebobea sana na tunafaidi sana elimu yenu hii. Muhimu sana. Asanteni..

01:43:50
Dr Lusajo naomba unifafanulie kwanini watoto wa familia Moja wanakua na tabia tofauti mno?

01:44:20
Mama Lusajo umenigusa sana kwenye malezi, hasa kwenye kupokea maelekezo bila kuhoji

01:44:30
Asante sana Dr. Lusajo kwa mjadala huu aiseee. Mafunzo na malezi kwa mtoto ambali na fimbo nimeielewa sana!...

01:45:09
Dr Lusajo, youโre amazing. all fantastic comments, brought all of us to reality.

01:45:41
Dr. Lusajo Excellent presentation. THANKS

01:47:08
Asante Dr. Lusajo kwa elimu nzuri sana

01:50:50
HAPPY MOTHER'S DAYโค๐Please honor your MOTHERS and ALL who perform the role of a Mother by DONATING TO DHIBITI COVID-19 Tanzania Campaign๐๐๐๐๐๐โค๐๐

01:51:02
https://www.gofundme.com/f/dhibiti-mlipuko-covid19-tanzania

01:51:41
Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayoifanya.

01:52:40
Ahsante Da Oliva๐

01:52:43
Agnetta Kamugisha; mkazi wa North Carolina; Ph. 919-724-2291Tina Lasway ; mkazi wa Texas and DIACOTA Rep.; Ph. 919-309-6994Nabila Ghassany; mkazi wa Georgia; Ph 404-988-2178Nassaro Basalama; mkazi wa North Carolina; Ph 919-519-1624Zawadi Sakapalla-Ukondwa mkazi wa Maryland; Ph 301-379-2342

01:52:47
hongereni sana for fundraising ๐๐ฝ๐๐ฝ

01:53:22
Please donate, share far and wide!!!

01:54:26
Swli langu kwa Dr. Lusajo naomba kuuliza hasa kwenye hatua ya kujifunza bila kipingo. Je, unadhani kuwa njia hii inafanya kazi kwa kila mtoto? Na je, changamoto zake ni zipi?

01:56:55
I am off kidogo mida ya kufuturu

01:57:23
mlipuko huu wa covid-19 umeleta mabadiliko makubwa kwenye Maisha ya kila siku hivyo umechangia vikubwa kubadilika kwa mawasiliano baina ya watu, mitazamo/fikra na tabia za watu.

01:57:35
is Education technology safe?

01:57:56
Hayo yote anayoyasema Dr. Balewa, tunao kabisa watu ambao wamefanya Bachelor of Educational Psychology, na baadhi ya watu ambao personally nawajua sasa wanafanya masters in Educational Psychology. Samahani lakini kwa kuendelea kusahihisha. Au labda kama kuna mambo zaidi ya hapo, Dr. atuambie

01:58:30
Asante sana Dr. Lusajo kwa somo la malezi bila kutumia fimbo natamani kila mzazi angepata hii elimu

01:59:16
Tanzania hakuna registration procedures za professions kadhaa isipokuwa kwa medical field na sharia tu. Zingine zote, iwe ni elimu, psychology, nutrition, dietetics, n.k. hakuna registration boards kama zilivyo nchi za Ulaya au Marekani. Dhana ni kwamba wanakuwa qualified just by getting their first degree. That is how it works in Tanzania. So, yes, educational psychology programmes zipo, UDSM walianza hiyo programme miaka kadhaa tu iliyopita.

02:03:23
Hongereni sana kwa hii program na Maono yenu !Nimejifunza kitu kikubwa sana!

02:04:05
swali kwa Dr. (Dada) Lusajo: Una ushauri gani kwa familia kuhusu how to deal with Grief process as it relates to covid19? Pia how to communicate na familia kuhusu maswala ya kuandika Will, kutokuweza kuwa pamoja wakati mgonjwa anaugua, kwenye mazishi etc.

02:05:21
Naomba nielimishwe. Hapa USA mlipuko wa COVID 19 ulikuwa na gradient kubwa sana (exponential growth). Africa naona growth iko kwenye low gradient. This is so despite we are really crowded (dala dala, domicile close like Manzese etc). What can be the plausible explanation? I know testing is low yes, but mortality need no testing.

02:05:27
Na mzazi kumpiga mzazi mwenza๐ก

02:06:14
What are the best ways to release stress and boredom to children during this time of covid19?

02:11:36
Dr. Lema great point. We trully creativity by yelling at them kids. Unatakiwa kupropote utundu with some liberal boundaries, in my opinion. Tunawaincourage wamemorize vitu.

02:13:22
A very good talk really. We traumatize our kids based on our feelings. And this lives with them for life and influence how they socialize even in adulthood. Hata domestic violence an intimate partner violence is predisposed by this kind of upbringing

02:13:49
correction: ,,,,,,meant to wtite...WE TRULLY KILL CREATIVITY...

02:14:20
Hasira ni mwaliko {Asante sana kwa hili somo aisee}

02:16:23
Hivi Dr. ku-lose temper sio involuntary response/reaction?

02:16:52
ninajifunza kulea vilivyo kupitia somo hili

02:17:41
Yani mambo mazuri sana. Tunahitaji kuwafikia zaidi jamii, kwa sababu tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyotarajia. Wataalamu ni wazuri kabisa na wana mambo ya kusisimua. Hongera Dr. Frank ku coordinate jambo hili zuri.

02:18:06
๐คฃ๐คฃduuh kanichekesha

02:18:55
Dr ๐๐

02:19:13
Tupe live ๐ค

02:20:12
Kuwa na hasira ni kitu cha kawaida, ku-lose temper ni tabia ambayo inawezakuwa mazoea

02:21:32
Mara nyingine hasa kwa kina mama ukiamua kukaa kimya kinawapandisha hasira sana. Wameanza kulaumu kuwa umemdharau. Hapa unashauri nini?

02:23:14
kukaa kimya in general towards your significant other si tabia nzuri sana

02:23:49
Mifano ya leo kwa kweli iko vizuri sana, natamani kungewezekana kuwepo na short messages kusaidia wazazi na families kwa ujumla kusaidia kuboresha mahusiano!

02:23:55
Ni vyema kumsaidia kuelewa kwa nini umeamua kukaa kimya. Hii itabadili tafsiri yake ya kudhani kukaa kwako kimya ni dharau.

02:24:40
Asante sana Dr. Lusajo Kajula naelimika sana hapa!...

02:24:54
yes kama kuna tatizo ongea donโt build up frustration

02:28:02
Dr. Kajula, very well said! Please endelea kufundisha zaidi, tunaona mwanafunzi wako Lema. umepanda mbegu nzuri!

02:32:21
Dr.Lusajo umenigusa mno!!

02:32:48
Thank you very much.Nitakutafuta

02:33:21
Asante sana Dr. Lusajo. Umeongea mambo mazito sana sana.

02:34:19
๐๐๐ Asanteni sana Drs. Nimejifunza mengi. Frank and team kudos.

02:36:07
Dr Lema, je wale wazazi ambao wanatoa instructions tofauti kwa watoto, na matokeo yake mtoto anakuwa ananipenda mzazi mmoja kuliko mwingine

02:36:39
Sorry anampenda mzazi mmoja zaidi

02:37:40
very interesting topic

02:38:29
lol Dr Lusajo ๐คฃ

02:38:35
Je dada Lusajo ,

02:38:41
Yes Dr. Kajula bado tupo wengi tu wanafunzi wako. Your talk is always therapeutic

02:39:50
kwenye hoja ya mahusiano swala la house girls unaliongeleje hasa kipindi hiki cha COVID19 quarantine??

02:40:25
Dr @Isaac kuongea Vs kuzungumza ๐๐ฝ๐๐ฝ

02:41:11
je mwenzio akizisitiza tuongee dakika hii na mko chumbani nichukulie hatua gani?

02:42:13
Kosa lingine wazazi msilumbane mbele ya watoto. Ushauri wangu

02:42:29
The Best Panel .. God bless them .. Nawashukuru sana.

02:52:16
Thank you kuhusu hilo la kuomboleza. Siku hizi ukristu unaua traditional grieving routines. Uchagani ilikuwa desturi kukaa siku kadhaa kuinua tanga (3 days for a man and 4 days for a woman). Siku hizi wanainua tanga mara tu baada ya mazishi. Hii italeta matatizo (mental) siku za usoni in my opinion. Wana saikolojia elimisheni jamii.

03:01:03
Dada wa kazi pia ni vizuri kumu hesimu na kumu thamini

03:01:15
heshimu

03:01:33
sio slave

03:02:00
Asante sana.

03:03:36
kweli he shida kwa Dada wa kazi ni muhimu sana ,, nao ni binadamu na wana mchango mkubwa sana na muhimu kwenye familia mzima..

03:03:47
heshima

03:04:46
Thank you so much Dr Frank and your team...Asante kwa presenters wote..topic ni muhimu ktk day to day life..kudos to you all๐

03:06:47
Nimefurahi sana kwa mada ya leo, big up moderator and the team.

03:07:05
Asanteni sana team kwa mada nzuri ya leo ๐๐๐

03:08:37
sisi pia huulizana na kuuliza watoto before bed, what made them happy and sad. inawapa nafasi yakutuonesha what we can do better

03:11:17
asanteni sana wataalamu wetu ,, Leo nimefaidika sana ๐

03:14:54
Thanks to the Panellists

03:16:02
nimeipenda hiyo ya taifa stars

03:17:06
Taifa Stars๐๐ฝ

03:17:33
Ahsante sana presenters wote๐๐

03:17:45
Ahsanteni sana Dr Frank na wataalam wetu wote. Nimefurahia mada zote. Ni muhimu sana

03:17:48
Aisee, big up Dr. Frank ku organize jambo hili. Nimeshangaa, wataalamu ni wazuri sana, jitihada zenu zinahitajika sana kwenye jamii, maana ukweli ni kwamba jamii yetu imeharibika sana. Ninatamani sana, viongozi wa Serikali na Wizara husika, kujipanga, ili hawa wataalamu wasikike kwa upana zaidi kwenye jamii yetu. Kuna faida gani kupata mafanikio ya kifedha au utajiri mkubwa lakini hakuna amani ndani ya nyumba? kuna faida gani kupata watoto wazuri, lakini kwa kuhisi tunawapa malezi bora, inakuwa kinyume chake, kwamba tunawaharibu kabisa? Tuisimamie Tanzania yetu, mambo yamebadilika sana, na kwa wataalamu hawa, tunaweza kuibadilisha na changamoto nyingi, zikaondoka automatically.

03:20:29
usaanii muhimu @ Dr. Lema๐๐ฟ๐

03:20:38
Malina, tusitegemee serikali sana. Sisi wenyewe tuangalie mini chakufanya nje ya serikali pia

03:20:46
Dr Frank Asante sana for organizing this sessions; nawapongeza tena Team nzima

03:21:01
well said Mtenga

03:21:19
thank you

03:21:21
Asante sanaa muandaa mada kwa siku ya leo na washereheshaji

03:21:28
Thanks alot

03:21:38
Asante sana.

03:21:51
great discussion asanteni sana Tuli

03:22:39
Primus, elimu hii ingefundishwa kuanzia shule za msingi, secondari na vyuo, tungekuwa na jamii bora sana ndani ya muda mfupi sana. Ndio sababu nikahisi Serikali inatakiwa sana kushiriki. nimefarijika sana.